Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

Mimi napenda kuwa muwazi...kwenye mapenzi sinaga busara kabisa ni kichaa kuliko hata chizi.

Ila sijawahi kugombana na mates wa kike wa mume wangu wa kazini...ila nikujue kabisa una uhusiano ambao ni extra na my hubby...nalianzisha.LIWALO na LIWE. Nikiwa na 100 evidence lazima kinuke kuanzia home mpaka kwa small.
 
Hapo kwenye red mi ndio maana napambana na wooote. Wengine waume zetu wana mvuto...japo hawawezi sema kuwa walitegwa kwa kuwa watakuwa WANACHEKESHA...kuna hiyo possibility 90%

...Hiyo ni kwa sababu wakati mwingine mwanawake hutokea kumuamini mwenzi wake kupita kiasi, hivyo kutotaka kuruhusu mawazo ya aina hiyo yatawale kichwa chake. Hivyo basi kuwalaumu wanawake wenzao ni rahisi zaidi kuliko kujikagua na kuangalia kama mahusiano yake na mwenzi wake iwapo yana tatizo. Lakini kinyume chake huamini kwamba ni lazima mwanamke huyo ndiye aliyemshawishi mwenzi wake mpaka akakubali kutoka naye. Pia huamini kwamba kama mwanamke huyo asingejirahisisha kwa mwenzi wake, isingekuwa ni rahisi kwake kutongozwa na kukubali, ni lazima kulikuwa na aina ya kujirahisisha ili kumshawishi mwenzi wake atoke naye...
 
Mimi napenda kuwa muwazi...kwenye mapenzi sinaga busara kabisa ni kichaa kuliko hata chizi.

Ila sijawahi kugombana na mates wa kike wa mume wangu wa kazini...ila nikujue kabisa una uhusiano ambao ni extra na my hubby...nalianzisha.LIWALO na LIWE. Nikiwa na 100 evidence lazima kinuke kuanzia home mpaka kwa small.

Kwanini usiongozwe na busara nyumba kubwa???
Mara nyingi watu wanaoamua mambo yao wakiwa na jazba huaribu zaidi badala ya kutengeneza..
Lakini small house huoni unamuonea bure..wewe deal na mimi mumeo...
 
Last edited by a moderator:
Ndio nakwambia hivyo. Nina busara kwenye mambo mengine...si mapenzi. Na siwezi na wala sina mpango wa kubadilika.
Namuonea nini na anajua anatembea na mume wa mtu?...atakacho pata ni share yake.

Kwanini usiongozwe na busara nyumba kubwa???
Mara nyingi watu wanaoamua mambo yao wakiwa na jazba huaribu zaidi badala ya kutengeneza..
Lakini small house huoni unamuonea bure..wewe deal na mimi mumeo...
 
Niliwahi kulianzisha mpaka office mate wangu akasema NK wewe nourma. Na huyu bi kidude mbona alikuwa akiniona anabadili njia. It works. Chezea wahuni wa DSM weye.

Nilidhani na wewe unafuata ile 'ya mwaga mboga nimwage ugali'
I mean na wewe unatafuta kiserengeti kukomoa..
Kumbe wewe ni wale wa 'labda nisijue'...nikijua nazaa na wote!!!!
 
No...BIG No.

Siwezi kuwa na Serengeti...na napambana kwa kuwa najua am still next to none as far as my hubby is concerned.

Ikifikia kwenye critical condition...sita chiti nita walk away.

Ukiona unalianzisha afu mumeo anakupa kibano eti kwa nini umemchokoza fulani ...jua wewe ni second or forth in his list. Ukiona hamsaidii the other woman jua alikuwa kwenye mapozeo; you are still the one.

Nilidhani na wewe unafuata ile 'ya mwaga mboga nimwage ugali'
I mean na wewe unatafuta kiserengeti kukomoa..
Kumbe wewe ni wale wa 'labda nisijue'...nikijua nazaa na wote!!!!
 
...Hiyo ni kwa sababu wakati mwingine mwanawake hutokea kumuamini mwenzi wake kupita kiasi, hivyo kutotaka kuruhusu mawazo ya aina hiyo yatawale kichwa chake. Hivyo basi kuwalaumu wanawake wenzao ni rahisi zaidi kuliko kujikagua na kuangalia kama mahusiano yake na mwenzi wake iwapo yana tatizo. Lakini kinyume chake huamini kwamba ni lazima mwanamke huyo ndiye aliyemshawishi mwenzi wake mpaka akakubali kutoka naye. Pia huamini kwamba kama mwanamke huyo asingejirahisisha kwa mwenzi wake, isingekuwa ni rahisi kwake kutongozwa na kukubali, ni lazima kulikuwa na aina ya kujirahisisha ili kumshawishi mwenzi wake atoke naye...
SnowBall Kuna na hii ya kuamini katika team work...................

2. Kuhisi kusalitiwa kama mwanamke - Kwa kawaida wanaume wana tabia ya, “kila mtu na lwake,” tofauti na wanawake, wao wana tabia ya ushirikiano na wanaamini kwamba madhila ya mwenzake ni ya kwake pia. Hivyo kitendo cha kugundua kwamba mwanamke mwenzake amemsaliti jambo hilo humuumiza sana. Ingawa wanawake wanajua wazi kwamba mwanaume kutoka nje ni jambo rahisi na linalowezekana sana kutokana na asili ya wanaume, lakini huamini kwamba wanawake ni wamoja na hawapaswi kusalitiana wao kwa wao.
 
Last edited by a moderator:
zamani sana niliwahi kumvaa mwanamke mwenzangu, halafu nikaona ni ujinga nilichomfanyia yule mwanaume nikikaa na kufikiria najiogopa mmmmh..... sasa hivi nimemwambia hubby kama akiwa na issue zake ahakikishe mie sijui kwa njia yoyote maana itakuwa ama zake ama zangu.....

rafiki unafanyaga hivi? na hawa mabinti ambao adabu zao zipo likizo, yaani ukimfwata atakutukana, atakualikia watu wakupige, ukakoma mwenyewe........................ bora kupigiana kelele ndani tu maana kumpiga huwezi ila maneno yatamuingia
 
Hilo Mtambuzi na mimi ndio ideology yangu...yeyote anayetembea na mume wangu ni 'adui yangu' hakuna cha eti usigombane na mwanamke 'mwenzako, gombana na mume wako'

Angekuwa mwanamke 'mwenzangu' angenipenda na asingethubutu kuniumiza. Kwangu yeye ni adui kuliko mume wangu.
Hakuna cha 'mwenzangu' hapa.

SnowBall Kuna na hii ya kuamini katika team work...................
 
ngoja nikwambie kitu Mtambuzi siku zte wa mwenye busara ataharibu kote kote yaani kwa wandani na kwa wanje. vinginevyo anapiga kimya kimtindo.

yaani huna haja ya kufa na mmoja mweleze huyo mwanamke ajue kama una ubavu na wajiua kwamba wewe si ngumi mkononi, kisha mkirud home kinuke kwa mzee. huwez kumwakia mr hadharani ila home sawa mbona lkn huyu mdada huna pa kumkuta zaid ya hapo na hapo ndipo unapomshusia timbwili.

ONYO; mara nyingi sana hii si dawa hata siku moja dawa ni kumwambia mwenzi wako kisha aamue cha kufanya vinginevyo mfungie vioo tu yaani vaa sura ya kazi ile mbaya lazima atarudi tu. hakunaga dawa kama ya kumdharau mwanaume kwenye ufirauni wake kisha ukawa na 50 zako wallah lazima aje ajikombe tena. tena wakati wa 0 zako kama vipi na wewe wa kukuliwaza unamtafutia mitaa ya mbaliiiii basi presha hupati ila sasa yeye na jeuri yake ndo atakoma wivu atakulilia hadi kwenye gauni.

maneno kuntu haya..lols!
 
Last edited by a moderator:
tena tunasingiziwa mengi kweli huko nje. nini ume-RIP? yaani ukiwasikiliza wababa wanaofwatilia watoto huko nje utazimia............................ ndo maana mimi naamini kabisa makosa ni yao, ndo maana nta-deal naye yeye tu

Jinsi ambavyo waume za watu wanavyokufukuzia, tena patiently kwa miaka kadhaa, ujue na wako ndo biashara anayofanya kwa wengine. Uongo woote anaomsingizia mkewe ujue na wewe unasingiziwa huko. Kuna coaligue aliniambia 'mie sikuoa, mke wangu alinibaka' wakati namzonga kuhusu all female interns. Ukihangaika na hao wanawake wake ni kujisumbua, mbaya wako ni huyo uliye na mkataba nae"
 
ngoja nikwambie kitu Mtambuzi siku zte wa mwenye busara ataharibu kote kote yaani kwa wandani na kwa wanje. vinginevyo anapiga kimya kimtindo.

yaani huna haja ya kufa na mmoja mweleze huyo mwanamke ajue kama una ubavu na wajiua kwamba wewe si ngumi mkononi, kisha mkirud home kinuke kwa mzee. huwez kumwakia mr hadharani ila home sawa mbona lkn huyu mdada huna pa kumkuta zaid ya hapo na hapo ndipo unapomshusia timbwili.

ONYO; mara nyingi sana hii si dawa hata siku moja dawa ni kumwambia mwenzi wako kisha aamue cha kufanya vinginevyo mfungie vioo tu yaani vaa sura ya kazi ile mbaya lazima atarudi tu. hakunaga dawa kama ya kumdharau mwanaume kwenye ufirauni wake kisha ukawa na 50 zako wallah lazima aje ajikombe tena. tena wakati wa 0 zako kama vipi na wewe wa kukuliwaza unamtafutia mitaa ya mbaliiiii basi presha hupati ila sasa yeye na jeuri yake ndo atakoma wivu atakulilia hadi kwenye gauni.

maneno kuntu haya..lols!
 
Last edited by a moderator:
Hilo Mtambuzi na mimi ndio ideology yangu...yeyote anayetembea na mume wangu ni 'adui yangu' hakuna cha eti usigombane na mwanamke 'mwenzako, gombana na mume wako'

Angekuwa mwanamke 'mwenzangu' angenipenda na asingethubutu kuniumiza. Kwangu yeye ni adui kuliko mume wangu.
Hakuna cha 'mwenzangu' hapa.
Mwenzako ni huyo unayeishi nae huko kwako mamii. Mnaogeshana na kufuliana kufuli. Sasa utakimbiza wangapi? Nakubaliana na gfsonwin, kufanya maamuzi magumu mtindo mmoja. Mara ukapigwe chupa ya pua bureee uharibu sura yako nzuri. Akhuuu, sigombei mtoto wa mwanamke mwenzangu mie! Tukishindwana kila mtu achukue 50 zake, kama ni in house ama outdorr kitajulikana hapoo.
 
Last edited by a moderator:
....Lazima ucheze na pande zote mbili mpaka kieleweke.

Ntakuja kusoma baadae natoka kidogo.

Nadhani hiyo ni nature na hatuwezi kushindana na nature...SIsi wanawake ni protective hata kwa watoto wetu.

Mimi mwenyewe siwezi kumkalia kimya mdada naejua anasarandia penzi langu. Ila tofauti yangu kidogo ni kuwa hata home lazima KINUKE.Lol. Nagombana na wote.

Hata ukijaribu kunibadili au kutubadili vipi ni impossible..we are from where vile, Mars or Jupiter?
 
Ndo maana nakupendaga

url

gfsonwin, nimeipenda hii.... "honestly maisha ya ndoa kama mtu hakuheshim na wewe nenda hivyo hivyo yaani hakunaga mbadala lol! ukaksi ukaksi tu kwan nni bana?"

Tena na bhange hizi za somalia nnazovuta! Hukawii kurudi ukakuta nimemualika dinner tunacheeeka wenyewe! Kuna kaka alinisimulia mkewe aligundua rafiki wa mdogo wake ni nyumba ndogo yake. Alichomtenda mkewe, wikiendi moja wakamualika huyo shosti lunch. Wakakaa na stori, jamaa kuingia anamkuta small house kajaa tele. Akajua pona yake ni confession. Alipitiliza chumbani, mkewe kumfuata amkaribishe misosi jamaa akaanza na goti. Wakayamaliza chumbani, wakatoka wakala na mgeni. Jamaa anasema affair iliishia jana yake. Hivi mkeo akikukamata mara kadhaa, asipoku-cheat jiulize kama ni lesbian!
 
Mwenzako ni huyo unayeishi nae huko kwako mamii. Mnaogeshana na kufuliana kufuli. Sasa utakimbiza wangapi? Nakubaliana na gfsonwin, kufanya maamuzi magumu mtindo mmoja. Mara ukapigwe chupa ya pua bureee uharibu sura yako nzuri. Akhuuu, sigombei mtoto wa mwanamke mwenzangu mie! Tukishindwana kila mtu achukue 50 zake, kama ni in house ama outdorr kitajulikana hapoo.
Namshukuru Mungu sikuzaa mtoto taahira.........Kumbe hauchezewi kijinga jinga eh.........LOL
 
Best, ulishawahi kujipatia picha unadundwa na mwizi wako? Ama unamfumania mkeo, afu yeye na huyo mgoni wako wanakuchangia kukudunda? Hata kama utamuacha/taliki, still umedhalilika.

....Lazima ucheze na pande zote mbili mpaka kieleweke.
 
Tena na bhange hizi za somalia nnazovuta! Hukawii kurudi ukakuta nimemualika dinner tunacheeeka wenyewe! Kuna kaka alinisimulia mkewe aligundua rafiki wa mdogo wake ni nyumba ndogo yake. Alichomtenda mkewe, wikiendi moja wakamualika huyo shosti lunch. Wakakaa na stori, jamaa kuingia anamkuta small house kajaa tele. Akajua pona yake ni confession. Alipitiliza chumbani, mkewe kumfuata amkaribishe misosi jamaa akaanza na goti. Wakayamaliza chumbani, wakatoka wakala na mgeni. Jamaa anasema affair iliishia jana yake. Hivi mkeo akikukamata mara kadhaa, asipoku-cheat jiulize kama ni lesbian!

Oh tate naneeeee................ !!!!!!!!!!!!!!!!
 
Namshukuru Mungu sikuzaa mtoto taahira.........Kumbe hauchezewi kijinga jinga eh.........LOL

Hamna kitu kibaya kama emotional torture baba. You play with my heart i will deal with yours. By the time nakuacha hata mzazi wako hatakutambua!

Afu nimekumisi, nitakusaka kesho tutimize ahadi za uchaguzi eeh!
 
Back
Top Bottom