Fumanizi: Kwanini wanawake hupenda kuwalaumu wanawake wenzao?

Huwezi kuoa kwetu sasa...kabla ya kuolewa tunafanya upembuzi yakinifu...lazima suala la compatibility lizingatiwe. Ndio maana ndoa zetu zinadumu...hatukurupuki.

nyumba kubwa,laiti kama ningekua mimi sijui ningemjibu nini huyo shemeji,hawezi kuniuliza kijinga eti niseme wazi kama nakupenda,kwani yeye nani?Khaaaa!!Halafu akalia mbele yake,yaani unalia kwaajili ya mwanamke tena mbele ya mwanamke aibu iliyojeee!!
 
ndugu yangu nyumba kubwa nitakubaliana na wewe kama tu hao wezi wako ni watu ambao ukiwatokea hutaishsha P yako ila kama ni vichangu tu ambavyo in one way or the other wananishushia heshima wallah sihangaiki nae. unakumabuka niliposema juu ya ANA?

nilipo angalia kazi yangu na elimu yangu kisha nikamweka na yeye ambaye nimemzidi niliona sina haja ya kugombana na kahaba anaye uza mwili white inn sinza na wala sikutaka kujipa drama. Nilitulia akaanza kunifuata kunichokonoa akakuta busara imetulia siku lia chozi mbele yake wala kumjibu akakosa nguvu.

alikuja kwangu hasira ilipanda nusura niue mtu nikasema litatimia lile wengi walilokuwa wanatazamia so nikawa mpole huku nikjua ipo siku tu sitafedheheka tena. haya yote nayafanya hakuna ndugu aliyejua ikawa home ni 50 zangu kama vile mtu hayupo nimepandisha vioo hadi aibu. akamleta ndani wakalala asbh wakanywa chai miye nimepandish vioo yaani sijali ndipo alipojiuliza mimi ni mtu wa aina gani lkn nikashinda manake alimtimua mbele yangu nikafanya kumpelekea nguo zake bara barani. hakujua mtu na sikutaka kujiingiza kwenye list ya timbwili la akina dada waliokuwa wanakimbiza small house. but it needs moyo aisee asa uwe umeua hisia kama wangu.yanii kufa presha?

to me ndani sitoki labda nimekufa hutak sepa weye hii ndo sheria ya kipalestina na ukicheza mamnina wallah hati zote nabadili majina ukaksi ukaksi tu mbona?
haiwezekani uende mtaani kugombana na mtu ambaye katembea na mumeo na P yako isishuke, huyo mtu awe waziri, rais, lecturer, meneja, au changudoa, wote ni sawa tu kwangu.
Mimi siamini katika ku-categorize watu wanaocheat na mwenzi wako, yaani kama ka-cheat na mtu wa heshima maumivu ni less au?
 
Hayo unayasema wewe...sisi tunapeta...full malovedave mpaka majamaa wanapagwa wewe unawahita wajinga kwa definition yako mwenyewe.

Nyie peteni tu na hao majamaa but kwangu ni big NO,na nitapata laana nikiyachekea haya.Yaani mdogo wa mke wangu au dada yake anihoji kijinga hivyo halafu eti nilie tena mbele yake?Eeee Mungu niepushe na hii laana!!
 
Wanaume wengi members humu mmekaa kimfumo dume...hamuwezi ishi na wanawake wajanja. Lol.

Wewe unasema kuulizwa tu ambayo mimi sioni ubaya kwa ndugu anaye care.

Kuna jirani zetu nilipokuwa mdogo walienda kutembeza kichapo kwa shemeji yao kwa sababu ya kumpiga dada yao mara kwa mara. Na hakuachwa mtu...yule mume alikoma kumpiga mkewe.

Hakuna cha mpaka ikija kwa ndugu wa damu wewe. Mke umekutana nae ukubwana afu unajidai una uwezo wa ku use and abuse.

Ni kweli maana naweza kufanya jambo la ajabu sana,siwezi kuvumilia shemeji ananiuliza namna ya ninavyoienesha ndoa yangu,patachimbika aiseeee!!
 
haiwezekani uende mtaani kugombana na mtu ambaye katembea na mumeo na P yako isishuke, huyo mtu awe waziri, rais, lecturer, meneja, au changudoa, wote ni sawa tu kwangu.
Mimi siamini katika ku-categorize watu wanaocheat na mwenzi wako, yaani kama ka-cheat na mtu wa heshima maumivu ni less au?

sina maana hiyo lkn unaonaje ukienda kupigana na kahaba muuza mwili white inn na ukienda kugombana na let say gfsonwin nyumban kwake kupi kuna kudhalilisha zaid? ndio maana mimi huwa siamini katika bifu za kimjini kwangu mimi staili ni sura ya kazi tu kitaelewa mbele ya safari kama ni mpalestina ama.
 
Ngoja ni log off. Sina nia ya kubadili mitazamo yenu kwa kuwa naamini sina huo uwezo...endeleeni na ideology zenu...zina work kwenu...Kwangu nina ideology zangu ambazo zina work pia. Peace and Love!!!
 
Ni kweli maana naweza kufanya jambo la ajabu sana,siwezi kuvumilia shemeji ananiuliza namna ya ninavyoienesha ndoa yangu,patachimbika aiseeee!!
yaani Eiyer na mimi nakusapoti hapa. hivi mfano angesema simpendi ingekuwaje? unge aboti ama wangempiga ama wangekuchukua urudi kwenu nyumba kubwa?

yaani injinia wangu Gy anaulizwa uwiiiii eti na shemeji sijui aisee manake angepiga hesabu zake dx/dy angesema simpendi na angemalizia iko hivyo hivyo simpend sasa wewe sijui uta integrate ama.
 
Last edited by a moderator:
nyumba kubwa,nakuambia leo,hata kama mume anamnyanyasa mke kwa kiasi gani,bado sikubaliani na ndugu kuingilia ndoa hiyo,tena kupiga,ningeua mtu aisee.Wacha uwe mfumo dume siwezi vumilia shemeji yangu anihoji kuhusu mke wangu kisa naogopa kusemwa mfumo dume,familia yangu ni yangu mtu akiingilia ni kwa ruksa yangu,sio uje kutoka huko kijinga unihoji aaah,acha utani kabisa.Kwa hiyo wewe kwako mwanaume anaekubali kuingiliwa ndo safi pole sana!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ni log off. Sina nia ya kubadili mitazamo yenu kwa kuwa naamini sina huo uwezo...endeleeni na ideology zenu...zina work kwenu...Kwangu nina ideology zangu ambazo zina work pia. Peace and Love!!!

Sidhani kama kuna mashindano ya kubadilishana mtazamo hapa!Mi nadhani tunajaribu kujadili changamoto zinazotukabili!!
 
sina maana hiyo lkn unaonaje ukienda kupigana na kahaba muuza mwili white inn na ukienda kugombana na let say gfsonwin nyumban kwake kupi kuna kudhalilisha zaid? ndio maana mimi huwa siamini katika bifu za kimjini kwangu mimi staili ni sura ya kazi tu kitaelewa mbele ya safari kama ni mpalestina ama.
Nimekupata mamii.
ala all in all, sitatoa mguu wangu au kunyanyua simu yangu kugombana na mtu ambaye hanihusu, yaani ni kumpandisha daraja sana. yaani aniibie halafu na hadhi nimpandishe? atambe! lol
 
yaani Eiyer na mimi nakusapoti hapa. hivi mfano angesema simpendi ingekuwaje? unge aboti ama wangempiga ama wangekuchukua urudi kwenu nyumba kubwa?

yaani injinia wangu Gy anaulizwa uwiiiii eti na shemeji sijui aisee manake angepiga hesabu zake dx/dy angesema simpendi na angemalizia iko hivyo hivyo simpend sasa wewe sijui uta integrate ama.
kama kuna vitu sipendi ni kumshirikisha mtu yeyote katika matatizo yangu ya ndoa. tulipatana wawili, tutafanya kila kitu chetu wenyewe, hakuna kinachoshindikana..............
tukubali tukatae mke/mume anatakiwa kuheshimika na kila mtu katika pande zote 2. imagine unapeleka tatizo huko, mnasuluhishwa, mnabaki pamoja, baada ya hapo kila mtu anajua kuwa mumeo/mkeo huwa anafanya hivi, huyo mume/mke ataheshimika kweli? na ubaya wa ndugu, huwa haiishii kwanye circle ndogo. kuna ndugu yangu aliwahi kufanya hivyo, nikaenda kutembelea ukoo mbali kweli nikaikuta hiyo story, na huyo shem maiskini ni mtu na heshima zake, naweza kusema aliteleza tu.
siku nikihadithia watu ujue na huyo mume simtaki tena
 
Ikitokea nimeachika ntamtafuta mumeo. Maana naona atakuwa ni easy prey. Na ntahakikisha nimekutoa ndani...maana mwenye nyumba hutaki ugomvi na mtu.Lol. (Am kidding!)

hii mimi siikubali kabisaaaaaaaaaaaaaaaa. huyo mwingine hanihusu hata kidogo, kwa nini nijishushe kiasi cha kugombana na mwizi? atajidai sana, yaani ni kama nimeona yeye ni zaidi kwangu...................... no, hatakuja kunisikia hata sms simtumii. nitagombana na huyu aliyeniweka ndani, akaniacha hapo na kwenda kujidhalilisha huko nje
 
Hiyo picha nimeipenda ...jamaa anasali sara zote SMS zijifute...which is impossible. Lol
tp-why-did-i-get-married-angela-660x450.jpg

BADILI TABIA
hivi hapa atapona mtu kweli hapa......................................................LOL
 
Afu nyie wanaume mnanishangaza sana. Unajua mke asojali kama una cheat au la kuna possibility kubwa kuwa na yeye ni cheater????

Ukiambiwa uchague mke mkali lakini mwaminifu au asojali lakini nae ana mapozeo yake ya siri unachagua lipi???

Wenyewe mmeona watu wanatoa shuhuda za wapi wanapopozea hasira zao..Tuacheni sisi waaminifu na wenye mapenzi ya kweli tupambane.
 
Kama huna ndugu mwenye mapenzi ya ukweli na wewe ndio utasema hayo. A problem shared is halfly solved. Ndio unasikia mtu kanywa sumu yeye na wanawe ukiuliza alikuwa na matatizo ya ndoa ambayo hakuna aloyajua. Kubwwa kwako kwa mwenzio laweza kuwa dogo as long as una mtu wa ku m-confide.

kama kuna vitu sipendi ni kumshirikisha mtu yeyote katika matatizo yangu ya ndoa. tulipatana wawili, tutafanya kila kitu chetu wenyewe, hakuna kinachoshindikana..............
tukubali tukatae mke/mume anatakiwa kuheshimika na kila mtu katika pande zote 2. imagine unapeleka tatizo huko, mnasuluhishwa, mnabaki pamoja, baada ya hapo kila mtu anajua kuwa mumeo/mkeo huwa anafanya hivi, huyo mume/mke ataheshimika kweli? na ubaya wa ndugu, huwa haiishii kwanye circle ndogo. kuna ndugu yangu aliwahi kufanya hivyo, nikaenda kutembelea ukoo mbali kweli nikaikuta hiyo story, na huyo shem maiskini ni mtu na heshima zake, naweza kusema aliteleza tu.
siku nikihadithia watu ujue na huyo mume simtaki tena
 
kama kuna vitu sipendi ni kumshirikisha mtu yeyote katika matatizo yangu ya ndoa. tulipatana wawili, tutafanya kila kitu chetu wenyewe, hakuna kinachoshindikana..............
tukubali tukatae mke/mume anatakiwa kuheshimika na kila mtu katika pande zote 2. imagine unapeleka tatizo huko, mnasuluhishwa, mnabaki pamoja, baada ya hapo kila mtu anajua kuwa mumeo/mkeo huwa anafanya hivi, huyo mume/mke ataheshimika kweli? na ubaya wa ndugu, huwa haiishii kwanye circle ndogo. kuna ndugu yangu aliwahi kufanya hivyo, nikaenda kutembelea ukoo mbali kweli nikaikuta hiyo story, na huyo shem maiskini ni mtu na heshima zake, naweza kusema aliteleza tu.
siku nikihadithia watu ujue na huyo mume simtaki tena

Dada yangu Fixed Point,

Mtazamo wangu wa siku nyingi unazidi kunifanya nijione sijakosea kukuchukulia kuwa wewe ni miongoni mwa wanawake wachache wa Kiafrika (waliobaki)!!

Hivi mtu unaanzia wapi kwenda kukimbizana na watu wa mitaani wakati chanzo cha ugomvi kiko ubavuni mwako??

Ni dalili kwamba watu wanataka kukimbia matatizo...Ngoja nikamilishe ile dossier yetu ya sifa za "a real African woman" haraka!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom