Hamna kitu hotuba zake..usifanye mzaha.
..kuna watu maalum wenye jukumu la kuandika hotuba za raisi.
Hotuba bora kabisa iliyojitosheleza bila kukopa chochote!
Wanataka kwani mbolea wanazalisha wao!!?Nenda kapitie hotuba ya Lissu uone alivyozungumzia suala la mbolea halafu njoo kwa Samia alivyozungumzia kuhusu mbolea, halafu walete wakulima waichambue, ndio utaelewa tuna rais wa kiwango gani cha chini cha upeo.
Wakulima wote wa Tanzania wanataka bei ya mbolea iwe chini, sio blah blah za Samia.
Kmmmk, dishi limeyumba hapa.
Phd ya nyukilia fiziksTatizo ni kwamba mama hana uwezo wa kua rais, hana uwezo wa kuwa kiongozi wa Taifa.
Hili nawalaumu CCM, kuchagua tu mtu yoyote kua makamo wa rais, hii ni hatari.
Kuna yule mwingine enzi za JK alikua anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya kukata utepe, ni PhD lakini hata kuongea ni shida.
Mpaka muda huu hotuba imesomwa na watu2000 wakati ya Lisu 5000Hii siyo hutuba, hili ni gazeti la uhuru.
hii sio Simba na YangaHotuba bora kabisa iliyojitosheleza bila kukopa chochote!
Kwani Lisu ni nani??.Lissu kamfunika mama. naona anapaparika tu
Ndo hivyo,yeye ndo Rais sasa; Subiri na wewe ukipewa angalau Ubalozi wa nyumba kumi utoe hotuba yenye logic kwa Wananchi wako.Huyu mama Samia kwenye hotuba ni sifuri kabisa. Hotuba nzima haina news, logics wala vibe. Yaani ni blah blah nyepesi za kurudia takwimu ambazo kila mtu anazijua, hata kuichambua huwezi
aliyedhubutu kuiambia dunia kwamba hayati ni dikteta uchwara.halafu jana amefanya mama azime twitaKwani Lisu ni nani??.