Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
Kwani kuna chama cha siasa kinachoitwa UKAWA? Mtaishia kuweweseka tu mwaka huu. CCM imejipanga ipasavyo. Wapinzani mtaishia kununa tu
Hivi wewe unaishi kuzimu au nchi hii hii!!????????
Kwani kuna chama cha siasa kinachoitwa UKAWA? Mtaishia kuweweseka tu mwaka huu. CCM imejipanga ipasavyo. Wapinzani mtaishia kununa tu
sweetlady yaani alichozungumza Lissu kaweka historia kwenye bunge hili.Hapa mtaani kwangu umati wa vijana umepita barabarani ukiimba Livssu...Lissu...Lissu....mara tu baada ya kuunguruma.
Mwanahabari mwenzangu Bbc wametoa ccm wamechanganyikiwa
Hivi wewe unaishi kuzimu au nchi hii hii!!????????
Ni kweli usemacho...Hotuba ya Freeman Mbowe imeshasambaa dunia nzima mpaka sasa.
sweetlady yaani alichozungumza Lissu kaweka historia kwenye bunge hili.Hapa mtaani kwangu umati wa vijana umepita barabarani ukiimba Lissu...Lissu...Lissu....mara tu baada ya kuunguruma.
Ccm baada ya kulawiti wamechanganikiwa mkuu
SAFI SANA MKUU..., TEYARI HII DOCUMENT MUHIMU KTK SAFARI YETU YA KUKOMBOA TAIFA LETU KUTOKA KWENYE WAKOLONI WEUSI, WEZI, RDCs, IKO KWENYE DESKTOP ZETU!
mwenye hati miliki ya Tanzania ni nani my sweetlady?Wanapigana vikumbo kila mahali.... hotuba mwiba hii..... hotuba ya mtu mwenye akili kubwa, kama mtu ana akili ndogo kuielewa itampa shida sana
Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!
We Bw Rutta Binjampola ulienda shule angaa ya sekondari ya kata au la? Hata watoto wa Shule za Kata wanajua dhana ya "tasfida".Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!
mwenye hati miliki ya Tanzania ni nani my sweetlady?
We Bw Rutta Binjampola ulienda shule angaa ya sekondari ya kata au la? Hata watoto wa Shule za Kata wanajua dhana ya "tasfida".
Kweli kamanda, siku zote akili kubwa huwa zinaweka historia hata kwa dk 1 tu...... na ndio maana unaona magamba huwa hayatamani kabisa kuona Lissu akiongea bungeni.... hajawahi kusimama akaacha kuweka historia... hakika akili kubwa ni shida kamanda Molemo
Mungu awalinde daima wapiganaji wetu... jioni yangu ya leo imekuwa nzuri sana kamanda
Nimefanikiwa pia kuisikia VOA jioni hii.Mbowe anapozungumza dunia inatetema!
Watanzania sasa hawajadili hotuba ya Pinda bali wanajadili ya KUB Freeman Mbowe