FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

Hamna lolote la maana zaidi ya kupiga kampeni bungeni. Hii ndio faida ya kutokua na elimu. Zee zima linaongea rubbish

Kwakuwa umeamua kujitoa ufahamu wako, hivyo nisingetarajia kuona ukiunga mkono hoja kutoka kwa mkombozi wa umma Mbowe, nakushauri tuliza akili kidogo uipitie upya hotuba ya KUB huenda utaambulia hata point 3 ili ufunguke kifikra.
 
Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!

Mafisi wa lumumba hii hotuba ya Mbowe imewalawiti kisaikolojia, sasa jaribu kupelekea mbele uchaguzi muone moto wa gas.
 
Afu ukweli kutoka moyoni pinda wakati anawasilisha hotuba yake nilizima tv .... ukiniuliza kazungumza nini wala sijui manake niliogopa kupata kichefuchefu na kuharibu siku yangu ! Jioni ndio nilijiandaa kusikiliza hotuba ya KUB manake nilijua lazima itanibariki na hakika imenibariki sana.... Hongera nyingi kwa Mh Mbowe na UKAWA kwa ujumla

Santeeee sweetlady maneno yako yamenitia sana moyo!
 
Last edited by a moderator:

Naomba Kubenea au mwandishi yeyote anayejitambua aiweke hotuba hii kwenye gazeti maana imesheheni fikra mpya tu hakuna porojo mule

Magazeti yote yenye akili hotuba ya Mbowe ndiyo itabeba habari kubwa kesho.

Magazeti ya kufungia vitumbua ndiyo yatapuuza hotuba hii.
 
Magazeti yote yenye akili hotuba ya Mbowe ndiyo itabeba habari kubwa kesho.

Magazeti ya kufungia vitumbua ndiyo yatapuuza hotuba hii.

Kuna magazeti ya CCM na Yale ya Ayatoola hayatagusia kabisa. Hatahivyo yatanunuliwa na wauza vitumbua na maandazi.
 
Back
Top Bottom