FULL TEXT: Hotuba ya KUB, Freeman Mbowe bungeni - Mei 12, 2015

Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!
 
sweetlady yaani alichozungumza Lissu kaweka historia kwenye bunge hili.Hapa mtaani kwangu umati wa vijana umepita barabarani ukiimba Livssu...Lissu...Lissu....mara tu baada ya kuunguruma.

Ccm baada ya kulawiti wamechanganikiwa mkuu
 
Last edited by a moderator:
UKAWA walisema kura ya maoni haiwezekani maccm yalishipaza shingo!
Huu ndo mwisho wao wamechoka kufikiri. Hongera ukawa kwa hotuba murua
 
sweetlady yaani alichozungumza Lissu kaweka historia kwenye bunge hili.Hapa mtaani kwangu umati wa vijana umepita barabarani ukiimba Lissu...Lissu...Lissu....mara tu baada ya kuunguruma.

Kweli kamanda, siku zote akili kubwa huwa zinaweka historia hata kwa dk 1 tu...... na ndio maana unaona magamba huwa hayatamani kabisa kuona Lissu akiongea bungeni.... hajawahi kusimama akaacha kuweka historia... hakika akili kubwa ni shida kamanda Molemo

Mungu awalinde daima wapiganaji wetu... jioni yangu ya leo imekuwa nzuri sana kamanda
 
Last edited by a moderator:
SAFI SANA MKUU..., TEYARI HII DOCUMENT MUHIMU KTK SAFARI YETU YA KUKOMBOA TAIFA LETU KUTOKA KWENYE WAKOLONI WEUSI, WEZI, RDCs, IKO KWENYE DESKTOP ZETU!

Jamani mbona mi sijaiona katika pdf, Msaada wadau kuipata
 
Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!

Na wewe endelea kujidanganya.... kama unafikiri anadanganya jaribuni kuongeza muda muone vibaka wakubwa nyie

Eti mda hautatosha.... mda utaachaje kutosha wakati katiba iko wazi kuwa kila baada ya miaka mitano lazima uchaguzi ufanyike?

Usanii kaufanyieni kwenye jumba la sanaa sio huku kwa wananchi... ongezeni mda tuwashe nchi moto ndio mtajua kwanini kambale ana ndevu
 
Mbowe anajidanganya nchii haita waka moto na kama uandikishaji utakuwa haujakamilika muda utaongezwa ili kukamilisha na nchi kamwe haito waka moto!
We Bw Rutta Binjampola ulienda shule angaa ya sekondari ya kata au la? Hata watoto wa Shule za Kata wanajua dhana ya "tasfida".
 
We Bw Rutta Binjampola ulienda shule angaa ya sekondari ya kata au la? Hata watoto wa Shule za Kata wanajua dhana ya "tasfida".

Huyo alishageuka kibaraka mlamba viatu vya wakubwa teh teh..... hapo ameshikiwa akili usitegemee kumsoma tofauti mkuu wangu
 
Kweli kamanda, siku zote akili kubwa huwa zinaweka historia hata kwa dk 1 tu...... na ndio maana unaona magamba huwa hayatamani kabisa kuona Lissu akiongea bungeni.... hajawahi kusimama akaacha kuweka historia... hakika akili kubwa ni shida kamanda Molemo

Mungu awalinde daima wapiganaji wetu... jioni yangu ya leo imekuwa nzuri sana kamanda

Watanzania sasa hawajadili hotuba ya Pinda bali wanajadili ya KUB Freeman Mbowe
 
Last edited by a moderator:
Watanzania sasa hawajadili hotuba ya Pinda bali wanajadili ya KUB Freeman Mbowe

Afu ukweli kutoka moyoni pinda wakati anawasilisha hotuba yake nilizima tv .... ukiniuliza kazungumza nini wala sijui manake niliogopa kupata kichefuchefu na kuharibu siku yangu ! Jioni ndio nilijiandaa kusikiliza hotuba ya KUB manake nilijua lazima itanibariki na hakika imenibariki sana.... Hongera nyingi kwa Mh Mbowe na UKAWA kwa ujumla
 
Back
Top Bottom