Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

Nondo zake anazoshusha dhidi ya udini, ugaidi, elimu, hanari, ni sumu kwa mustakabali wa ccm...
Naona mawaziri wangatokwa na mimacho weli kweli..
 
Kama hoja za Mh. Mbowe ambazo huwa ni nyepesi sana zinaweza kulitikisa bunge, basi hili bunge linatakiwa kutokuwepo kabisa.

He's just there kama kiongozi wa upinzani bungeni by default

Asante mbeba hoja....naona umeshajua uzito na wepesi wake....leo umekuja na pick up au unabeba mabegani?
 
Udhaifu wa pinda kushindwa kuisimamia serikali ni fedheha kwa taifa.
 
pinda ndio kidume pekee aliyetoa hotuba ya kulitingisha taifa jana

Sijui kwa nini Lowassa alijiuzulu...! angekomaa tu kama Mulugo then upepo unge cease....
Sasa tumepata mshauri wa serikali anaeitwa mtendaji...hajui kama yeye ni mtendaji...yeye anajua ni mshauri labda na kuwasaidia watanzania kuhuzunika au kulia!
 
Peleka salamu Lumumba walikokutuma
Huko zipeleke wewe, mimi za kwangu zinabaki hapa hapa.

CCM wanapenda kiongozi wa upinzani bungeni abakie kuwa huyu huyu kwa sababu hoja zake ni nyepesi sana.

Kama Mnyika au Zitto wangekuwa viongozi wa upinzani ubungeni tungeshuhudia bunge active kwa upande wa upinzani hata watu neutral wangepata msukumo wa kutaka kusikiliza hoja za kiongozi wa upinzani bungeni.
 
Hotuba moto imemfanya Lukuvi Anakaa kwenye kiti kama kina misumari
 
Amemchapa dongo la uso Mwigulu Nchemba. Amesema "anayewasiliana na magaidi naye ni gaidi"

kwa hiyo anakubali kuwa LWAKATARE ni gaidi isipokuwa tu analalamika kwa nini wote wanaowasiliana na gaidi wasijumuishwe kwenye kesi ya ugaidi. thanks mbowe kwani kama ishu ni kuwasiliana basi na wewe na slaa tuwaite ni magaidi maana mmekuwa mkiwasiliana na LWAKATARE mara nyingi kuliko hata NCHEMBA alivyofanya
 
Una maaana gani kusema kutikisa bunge?au umetumwa kutanguliza ujinga humu,, tunajuwa staili yenu na tumewazoea.
 
Na anene tuko nyuma yake, CCM hatuwahitaji tena kumbukeni 2015 siku ya kifo imekaribia.
 
kamponda waziri mkuu, kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri, kasema serikali ni dhaifu....ijnaunda tume ni nini isichokijua kwenye issue ya elimu?

mbona yeye ameshindwa kuwawajibisha akina lwakatare, ludovick, ivodius na wengineo wanaokabiliwa na tuhuma kadhaa nzito na nyepesi. Tuhuma tu zinastahili kumwondoa mtu madarakani. Hivi tuhuma za kawambwa zitalingana na tuhuma za kigaidi?
 
Back
Top Bottom