FT: Yanga vs Mwadui (3-2) | VPL | Benjamin Mkapa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana.

Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo.

===========

21' Goaaal, Yanga wanauweka ubao sawa, Yanga 1-1 Mwadui

28' Yanga wanapata mpira wa adhabu ndogo nje kidogo ya lango la mwadui hata hivyo mpira hauna manufaa

34' Saidoo anaachia mpira matata lakini unagonga mwamba, Yanga 1-1 Mwadui

42' Fei Toto anawekwa chini ndani ya Box la Mwadui, Penalt

43' Kipa wa Mwadui, Mussa Mbise anapangua mkwaju wa Penalt wa Fisto AbdulRazak

45+2' Mpira unaenda mapumziko

59' Kisinda anaingia kuchukua nafasi ya Mwauya

64' Goaaaal, Aneth Revocatus anaachia mkwaju mkali kutoka nje ya 18 na kumuacha Farouk Shikalo akigaagaa

65' Revocaus anapewa kadi ya njano kwa kuvua jezi wakati anashangilia goli

67' Yacuba anaingia kuchukua nafasi ya Fisto AbdulRazak kwa upande wa Yanga
 
Mashabiki wa utooo mbona hawaendii uwanjan kuipa saport timu yao
 
Back
Top Bottom