Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,506
- 7,512
Ila Simba ya leo haijanimpress hata kidogo. Pamoja na kuongoza ila mpira mbovu sana. Hakuna umakini.
Hahahaha.Aliyemleta Phiri hana dhambi
Broh kuna app yoyote wanaonesha hii mech liveKibu kiwango kimeshuka Sana.
Nadhani hili goli la Phiri leo ni la nne, jamaa anazidi kufunga kwenye mechi ngumu.
TFF anaipa mbinu simba timu zingine zimenyimwa . Mechi zijazo tutafuata mbinu kwa. nguvu hapo karume
hakuna timu hapoIla Simba ya leo haijanimpress hata kidogo. Pamoja na kuongoza ila mpira mbovu sana. Hakuna umakini.
Ni umri wako tu unaokufanya usijue tofauti kati ya Bonanza na CCL Group stageshahahaha
hahahaha kumbe hata ujui ilikuwa bonanza mlilo andaa basi nikuache mkuu.
anzeni kujiandaa tarehe 23Simba hii progress sio nzuri..
This is a warning alert! We need to improve
Huyo niwaliwahi kumbutua pia, ukisema lilikuwa ni bonanza basi kumbuka hata yeye alinifunga kwenye bonanza tena nikiwa sina keyplayers.Anaachaje kujua alikubutua kama navyo kubutuaga
Jamaa anathibitisha kwa vitendo anajua sana.La tano Mkuu
Kwenye ile bonanza ya simba super cup?Acha ubwege wewe,mbona sisi Simba tulimpiga alhilal 4-1 alafu nyie mkamshindwa?
Ifike muda muwe mnakubal Simba sio level yenu ,nyie endeleen kumkamia kwenye lig wakat yeye Hana huo muda.
MweeehSimba hii progress sio nzuri..
This is a warning alert! We need to improve