FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,139
25,415
Mechi ni saa 4 usiku mungu ibariki Ahly ungana nami kwa update za mechi hii

YallaYaAhly

dakika ya 5 mpira umeanza
Screenshot_20240217-075251.jpg
mpira umemalizika kwa sare ya 0-0
20240217_074824.jpg
 
Al Ahly ashinde ila wale jamaa wakiwa kwao huwa Wana moto sana so naiona draw au lose kwa Ahly
Maana nao mbinu zao zimekuwa wazi sana now days imagine wali draw na team ya Simba tena two games
 
Back
Top Bottom