Pole mi sijui kesho mtaani ntapitaje kwa ahadi na viapo nilivyotoa.Yanga mwaka huu wana zari sana yani wamenifanya nikae ndani muda huu wakati sio kawaida yangu
Kitu ambacho hujakifahamu , Ni kwamba yanga anacheza Kulingana na Mpinzani ...Tuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Utahamahama mwishoe utaukaliaKama kawaida nakuja na USM Algier ni mwendo wa kuhama tu.
Ningetamani tukutane na AlgerUSMA nadhani wako vizuri zaidi japo mpira unadunda.
Utahama mpaka utakosa Team ya kuhamia coz itakua imebaki Yanga pekee.Kama kawaida nakuja na USM Algier ni mwendo wa kuhama tu.
Unamatatizo yoyote na mimi?Utahamahama mwishoe utaukalia
Huyu Asec aliepigwa na Rivers, Huyo USM nae alipigwa na Marumo...Tuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika
Achana nae huyo.Sasa hii haikubaliki
HaterTuwe tu wakweli kati ya hizi timu zingekutana na Yanga hatua za mwanzoni huu umbali tusingefika