From Diamond Jubilee: Rais Kikwete aongea na Wazee wa Darisalama!

dah ....... ukilaza unaendelea, jamaa katoa historia ya jinsi mgomo ulivyotokea
 
Hivi unataka Rais aonge unavyotaka wewe, JK ni Rais anaongea kama Rais.

Na wewe umeenda?
maana naona ume zeeka kweli kweli.
avatar63099_1.gif
 
So,unadhani hao madaktari toka hiyo nchi yenye madaktari wengi watakuja
kulipwa milioni 2 kwa mwezi au ndo watawapa mil20 kwa mwezi?

Nchi ya ajabu sana hii,inabidi iingie kwenye maajabu ya dunia.
Mil 2 nyumba, gari na mafuta bure halafu na kijakazi nyumba ya gate mbona wengi tu..Hata wa kujitolea wengi sana hasa Canada wanatafuta kazi..Sina maana serikali hawana makosa wanayo tena makubwa zaidi isipokuwa makosa mawili hayawezi kubalidilisha ukweli kwamba pande zote mbili wanazidi kuitokomeza nchi yetu..
 
Mwenyekiti wa wazee wa dar, anasema wazee wamemwona wamemsikia na wamemwelewa. Je wewe umemwelewa?
 
Namuona mzee wa upako akiwa sambamba na sheikh wa mkoa wa DSM

.
Kuna mtu mmoja katika comment zake alisemama mzee wa upako kwa sasa ana njaa kama mbwa wa jangwa la somali. Hata vile vitoto vilivyofikiriwa kuvizaa anavitafuna kwa fujo. Na inasemekana jamaa ni freemasons aliyelazimika kujiunga kulinda umaarufu aliokuwa ameutengeneza juu ya msingi wa manyasi. Waalimu wake ni mashekh na akitoka hapo anawafundisha wakristo. Tutafika kweli?
.
 
CONCLUSION:
"tunawathamini madaktari, tunawapenda, naomba tuaminiane na tutafanya yaliyo ndani ya uwezo wetu, kazi ya madaktari haifanani na zingine, mgomo wa maDR gharama yake ni maisha ya wa2, mgomo wa wa madereva wa daladala gharama yake ni wa2 kutembea kwa miguu ila watafika wazima.....
'Haya yote wanayodai tunaendelea kuyazungumza na kuyatimiza hatujashindana"
"Tunaheshimu ahadi zetu, tuliyosema tutayatimiza hata kuangalia mahusiano kwenye wizara yawe mazuri"
"Nawashukuru waliokataa kugoma pamoja na vitisho walivyopewa"
"Nawashukuru wananchi kwa utulivu,uvumilivu wao ktk kipindi kigumu cha mgomo"
"Naomba maDr mgomo huu uwe wa MWISHO!"

Serikali tuko tayari kuendelea na mazungumzo,ila tusitiliane sana masharti na wanaozungumza hawagombani!!

Sote tumejifunza ktk matatizo haya na mafunzo tuliyoyapata yatuongoze mbele ya safari
MUNGU IBARIKI TANZANIA, AHSANTENI SANA!
MAKOFI>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Kaongea pumba weeee, mwisho kaingia kwenye 18!!! JK bwana... sa umewakodi hao wazee kuja kushangilia hizo pumba au??
 
Kweli hotuba ya wazee,mimi kijana sijaelewa chochote.Anyway ukiona haukielewi kitabu ujue hakijaandikwa kwa ajili yako.
 
True true my president
conclusion:
"tunawathamini madaktari, tunawapenda, naomba tuaminiane na tutafanya yaliyo ndani ya uwezo wetu, kazi ya madaktari haifanani na zingine, mgomo wa madr gharama yake ni maisha ya wa2, mgomo wa wa madereva wa daladala gharama yake ni wa2 kutembea kwa miguu ila watafika wazima.....
'haya yote wanayodai tunaendelea kuyazungumza na kuyatimiza hatujashindana"
"tunaheshimu ahadi zetu, tuliyosema tutayatimiza hata kuangalia mahusiano kwenye wizara yawe mazuri"
"nawashukuru waliokataa kugoma pamoja na vitisho walivyopewa"
"nawashukuru wananchi kwa utulivu,uvumilivu wao ktk kipindi kigumu cha mgomo"
"naomba madr mgomo huu uwe wa mwisho!"

serikali tuko tayari kuendelea na mazungumzo,ila tusitiliane sana masharti na wanaozungumza hawagombani!!

Sote tumejifunza ktk matatizo haya na mafunzo tuliyoyapata yatuongoze mbele ya safari
mungu ibariki tanzania, ahsanteni sana!
Makofi>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
 
Hawa wazee ni wa ccm tu au? Maana wanapga vigelegele hao....hlf kwann kila mara ni wazee tu chukua na vujana hata mara moja mkuu JK
 
Back
Top Bottom