Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

Na kweli huu ni mwaka wa UHURU. Uhuru wa koundokana na ukiritimba wa madaraka wa CCM. Iweje wahodhi madaraka miaka 49 na badala ya kuendeleza nchi walee tu mafisadi?

Na hawana aibu hata kwenye hotuba zao. Badala ya kuomba msamaha kwa kuzorotesha Elimu, wenyewe wanasema oh, nilikuwa graduation Kenya juzi wakapata PhD watu 100, graduation hapa kwetu PhD moja tu. Huoni ni kosa la utawala wako wa CCM? Unatulaumu sisi?[/QUOTE]

watu wanaoelewa vyema na upeo mkubwa si wakuitetea ccm kwa sasa, hawa watu wameharibu vingi saana hasa huyu mwomba kura wa sasa NASIKIA HATA KAMPENI ZAKE ALIOMBA MSAADA MAREKANI!!
 
epabc.jpg

Wadosi waliomuingiza Mkulu Magogoni. Hapa wanacheza mchezo wa kuigiza baada ya kui-EPA BoT.

Chini ni Fisadi Papa akiwa na PM wenu. Raha tupuuuuuuu........ Ahhh, huyu ndiyo alikuwa mweka hazina wa CCM.
02107t5hk1f.jpg


Akiwa na Fisadi Mjukuuu....... aka RUGE mla watoto wa Kike Waimbaji.
rostam.JPG
 
Friends of Dr Slaa Friends of DR Slaa


Hawa ndo wanasema wanajiandaa kumpeleka DR Slaa Magogoni

Baada ya hapo watataka nini?

Je Dr Slaa ndo analeta undungu katika mabo ya kitaifa?


Friends of Dr Slaa sio sawa na ule mtandao wa kifisadi uliomuweka madarakani huyo bwana wako. Hili ni kundi la watu wenye uchungu na nchi, wanaotaka mabadiliko ya kweli ya kuipeleka nchi yetu kwenye mafanikio. Kwa kuwa umezoea kuona CCM wakipeana vyeo kwa u-MWENZETU unadhani hata hawa watu makini watafanya hivyo! Assignment uliyopewa humu JF inakushinda kwani huna upeo!
 
“When Chadema central committee endorsed my name to run for the presidency, four days before collecting parliamentary forms, I was shocked and fell sick for two days..
Slaa..
 
epabc.jpg

Wadosi waliomuingiza Mkulu Magogoni. Hapa wanacheza mchezo wa kuigiza baada ya kui-EPA BoT.

Chini ni Fisadi Papa akiwa na PM wenu. Raha tupuuuuuuu........ Ahhh, huyu ndiyo alikuwa mweka hazina wa CCM.
02107t5hk1f.jpg


Akiwa na Fisadi Mjukuuu....... aka RUGE mla watoto wa Kike Waimbaji.
rostam.JPG
Hivi hapa PM alimaanisha nini kukunja ngumi ya mkono wa kulia namna hii????
 
"Dr Slaa ameshaunda timu ya mawasilano na habari? Au wanapiga porojo tu! Nini mkakati kuhusu kupasha habari za kampeni kupitia vyombo vya habari. Sitaki kusikia upuuzi eti TBC na ITV vinamilikiwa na CCM au wakereketwa wa CCM hivyo hawawezi kutangaza habari za kampeni ya Slaa. Lazima uwepo mkakati hata kama ni wa kutangaza kupitia Citizen TV ya Kenya.

Sijaangalia tovuti ya CHADEMA karibuni. Are there any updates?"

Ndugu Awu, HIYO NI MUHIMU. JARIBUNI KULIPIA KIPINDI KATIKA CITIZEN TV KENYA AMBAPO INASIKIKA VIZURI MAENEO YA MKOA WA KILIMANJARO,ARUSHA,MARA. PIA WENYE DECODERS WANAWEZA KUANGALIA. PIA MUANDAE WATU WAKUUPDATE BLOGS NA TWITTERS.

REGIONAL RADIOS PIA
 
Wadosi waliomuingiza Mkulu Magogoni. Hapa wanacheza mchezo wa kuigiza baada ya kui-EPA BoT.

Chini ni Fisadi Papa akiwa na PM wenu. Raha tupuuuuuuu........ Ahhh, huyu ndiyo alikuwa mweka hazina wa CCM.
02107t5hk1f.jpg


Akiwa na Fisadi Mjukuuu....... aka RUGE mla watoto wa Kike Waimbaji.
rostam.JPG

Hapa ndipo mnapo haribu kila kitu kwa kuwausisha watu wasio kuwa na mbele wala nyuma
 
Friends of Dr Slaa Friends of DR Slaa


Hawa ndo wanasema wanajiandaa kumpeleka DR Slaa Magogoni

Baada ya hapo watataka nini?

Je Dr Slaa ndo analeta undungu katika mabo ya kitaifa?

Unaonekana umechoka kupayuka, wenzio wamekuacha peke yako hapa? Waambie waje kukusaidia hali yako kama ya mbayuwayu. Angalia yasije kukukuta ya aiseeee
 
Wakubwa,

Jana nikiperuzi peruzi kwenye Tanzania Daima front page nikaona habari njema kuwa kuna kundi la marafiki wa Dr. Slaa kuelekea uchaguzi mkuu. habari hiyo inasema kundi hili linaundwa na wanaharakati kuhakikisha Dr. Slaa anashinda uchaguzi mkuu, kundi hili linazidi kuwa kubwa na tayari lipo mikoani, mkakati ni kuhakikisha linafika hadi vijijini ambao ndipo walipo wapiga kura wengi. Kundi hili litahusika na kampeni, michango kuhakikisha Dr. Slaa anashinda uchaguzi mkuu, humo ndani kuna, wasomi, wafanyabiashara, wanafunzi wa vyuo vikuu, wafanyakazi na wakulima.

Habari haikueleza zaidi ni kwa namna gani basi mtu anaweza kujiunga, najua hapa JF wahusika wa kundi hilo wapo, naomba watuhabarishe njia za kujiunga kwa urahisi. Ningependekeza viongozi wa kundi hili waongee na MOD's ili watu tuweze hata kujiunga kwa njia ya mtandao ili kuweza kutoa michango yetu online.

Angalizo
"Kiongozi bora ni yule anayeelewa chanzo cha matatizo ya wananchi anaotaka kuwaongoza, huyo ndiye anafaa kuchaguliwa"
 
Mimi naomba wale wote tunaoitakia mema nchi hii, bila ya kujali itikadi zetu,tujitahidi kuchangia kwa kadri ya uwezo wetu, hata mchango wa ushauri jinsi ya kuendesha kampeni ni mkubwa sana na nina hakika utapokelewa na kufanyiwa kazi kwa mikono miwiili.
 
Nina 100,000/= nataka kumchangia Rais wetu mtarajiwa, Dr. Slaa, naomba account ya michango.
 
Ndugu zetu FOD,

Kwa ishu ya talking points, you have your work cut out for you. Yaani huyu JK ameanza kwa kuhaha sana. Hajajua kwamba anatakiwa aseme amefanya nini miaka 5 iliyopita. Yaani anasema:
  1. Sijawahi kunyonga
  2. Sijawahi kukataa kura za wafanyakazi.​
Yaani hivi amewahi kufanya nini? Aseme hicho, sio sijawahi hiki sijawahi kile. Au nimuulize: umewahi kulea mafisadi? Yaani watu waliohujumu uchumi, na ushahidi ukapatikana, Tanzania, Uingereza, Italia nk, kisha ukawalinda? Unataka tukuchague ili uendelee kuwalinda?​

hiyo ni dhahiri anatapata.
hajui alichafanya maana muda mwingi alikuwa anabembea jamaica, ila anajua asichofanya.
ANGUKO lao li karibu
 
Back
Top Bottom