Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

hawa "wafanyabiashara wakubwa nchini" hawana masharti lasivyo tutarudi kule kule kwa CCM, ambako ukichangia chama unasamehewa kodi

halafu kwanini iwe FOD (Friends of Dr. Slaa) nafikiri ingeeleweka vizuri zaidi kama ingekuwa Friends Of Slaa (Dr.) (FOS)
 
We jey key chizi kweli.unafikiri kukomboa nchi ni kazi rahisi sana? Kwa taarifa yako hata mwalimu alisaidiwa na rafiki zake michango mbalimbali hata baba yangu alimchangia lakini hakuambulia cheo chochote.
 
Tahadhari: Concentration isiwe kwa Dr. Slaa peke yake, iwe na kwa wabunge wake ili kurahisisha uongozi wake.

Jibaba Bonge umenena pamoja na uraisi tuwasaidie na wanogombea udiwani na ubunge tuweze kukamata toka chini.
 
We malaria sugu mada zako tunasisitiza ni dhaifu na hatuchangiiiiiiiiiiii.heeee huskiiiiii?
 
Kwani wewe uliyejikomba na kuanzisha blogu ya JK unatarajia kupewa ukatibu tarafa?
 
Dr Slaa ameshaunda timu ya mawasilano na habari? Au wanapiga porojo tu! Nini mkakati kuhusu kupasha habari za kampeni kupitia vyombo vya habari. Sitaki kusikia upuuzi eti TBC na ITV vinamilikiwa na CCM au wakereketwa wa CCM hivyo hawawezi kutangaza habari za kampeni ya Slaa. Lazima uwepo mkakati hata kama ni wa kutangaza kupitia Citizen TV ya Kenya.

Sijaangalia tovuti ya CHADEMA karibuni. Are there any updates?
 
Friends of Dr Slaa Friends of DR Slaa


Hawa ndo wanasema wanajiandaa kumpeleka DR Slaa Magogoni

Baada ya hapo watataka nini?

Je Dr Slaa ndo analeta undungu katika mabo ya kitaifa?

ya mafisadi na ccm huioni!?
 
si hilo tu la kuhaha kukana mambo ya sijawahi kunyong ana sijawahi kukataa kura za wafanyakazi. Mimi kinachiniskitisha ni kuwa KWA NINI MAFISADI WALE MAPESA, WAJENGE MAUMBA MILIMANI MWANZA, WATEKETEZE NYANZA HALAFU HELA ZETU ZITUMIKE KULIPA MADENI NA HAO JAMAA WABAKI HIVYO HIVYO. MIMI HII INANINYIKA USINGIZI KABISA, hivi kweli pesa zetu zinatumika vibaya namna hii. Dr. Slaa tunataka action kwenye kampeni juu ya hili
 
halafu hii ya kusema ahh! ilani yetu. mimi naona kuwe na ilani ya nchi ambayo ndo iwe kigezo cha kufanyia tahimini sio kama ilivyo sasa
 
wewe sasa naona ni rafiki wa mafisadi na ndio maana unaona hata Dr Slaa atafanya hivyo
 
Hivi ni lini pia atakanusha kuwa hajawahi sema Wanafunzi kupata mimba ni kiherehere chao?
 
Tahadhari: Concentration isiwe kwa Dr. Slaa peke yake, iwe na kwa wabunge wake ili kurahisisha uongozi wake.
Na mimi nilikuwa na mawazo hayo kuwa FOD iwe na special targets kwa mfano, ishirikiane kwa karibu na mawakala wa Chadema kwa kuwawezesha, mbali na mawakala kulipwa na chama FOD nayo iwasaidie kwa kiasi chake.

Pili kama ulivyosema FOD iwafikie na kuwasaidia wabunge itakaoona watahitaji msaada kwa vile tunajua kuna baadhi ya wagombea hawatakuwa na uwezo wa kufanya kampeni kwa kipindi chote, maana yangu hapa wanaweza wakaishiwa pesa kabla ya uchaguzi, FOD inaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine, kama usafiri vyombo vya matangazo nk.
 
Hawa wote watakuwa watu wa kanisani

Wakuu, Jeykey ni victim wa maadui wetu wakubwa umasikini, ujinga na magonjwa. Unfortunately yeye kakumbwa na ujinga uliopandwa na CCM. CCM ambayo inajivunia na matunda ya hawa maadui wetu kama nilivyotaja hapo juu.

Ukiangalia sana watu karibu 80% wanaotokea kwenye kampeni za Mbayuwayu nao pia ni victims wa hawa adui wetu. Kwa kweli niko kwenye sala kuwaombea hawa wenzetu, kama JeyKey, mbaya zaidi hajui kuwa dawa ya tatizo alilo nalo ni kuondoka madarakani kwa CCM!!
 
Back
Top Bottom