ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,556 Sep 3, 2011 #1 baada RVP kupata kichapo toka manu kaamua kutoa kichapo na kwa San Marino baada kuichotea timu yake mabao mnne wakati wakiwa wameshinda 11 - 0. matokeo mengine ni Spain 3 - 2 Chile Germany 6 - 2 Astria Faroe 0 - 1 Italy Source: goal.com
baada RVP kupata kichapo toka manu kaamua kutoa kichapo na kwa San Marino baada kuichotea timu yake mabao mnne wakati wakiwa wameshinda 11 - 0. matokeo mengine ni Spain 3 - 2 Chile Germany 6 - 2 Astria Faroe 0 - 1 Italy Source: goal.com
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,556 Sep 3, 2011 Thread starter #2 kweli kufungwa inauma..