Tanzania yapiga kura za mkutano mkuu UN Kupinga vita ya Israel-Gaza

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,664
4,875
Katika kura zilizopigwa, siku ya jana katika mkutano mkuu wa UN zilionesha Tanzania 🇹🇿 imepiga kura ya Kupinga Vita ya Israel na Gaza, na pia kura hiyo inataka Misaada iruhusiwe kuingia GAZA.

Nchi 120 zilipiga kura kupinga Vita ya Israel na Gaza, kutaka yawepo mazungumzo na pia kusisitiza misaada iingie gaza (IN FAVOR 🟢)

Nchi 14 zilipiga Kura kutaka Gaza aendelee kula kichapo kitakatifu,
NCHI 14 zilizotaka GAZA aendelee kula kichapo ni kama zifuatavyo; (AGAINST 🔴)
1. Austria
2. Croatia
3. Czechia
4. Fiji
5. Guatemala
6. Hungary
7. Israel
8. Marshall Islands
9. Micronesia
10. Nauru
11. Papua New Guinea
12. Paraguay
13. Tonga
14. United States of America (USA)

NCHI 45 ambazo azikutaka kuunga mkono upande wowote na kujitoa katika mchakato wa kupiga kura. (ABSTAINANCE 🟡)
1. Albania
2. Australia
3. Bulgaria
4. Cabo Verde
5. Cameroon
6. Canada
7. Cyprus
8. Denmark
9. Estonia
10. Ethiopia
11. Finland
12. Georgia
13. Germany
14. Greece
15. Haiti
16. Iceland
17. India
18. Iraq
19. Italy
20. Japan
21. Kiribati
22. Latvia
23. Lithuania
24. Monaco
25. Netherlands
26. North Macedonia
27. Palau
28. Panama
29. Philippines
30. Poland
31. Republic of Korea (South Korea)
32. Republic of Moldova
33. Romania
34. San Marino
35. Serbia
36. Slovakia
37. South Sudan
38. Sweden
39. Tunisia
40. Tuvalu
41. Ukrein
42. United Kingdom
43. Uruguay
44. Vanuatu
45. Zambia
Tunisia na Iraq ndio nchi za uarabuni zilizojitoa katika mchakato huo

Ali kadharika, Nchi 14 hazikuhudhuria kabisa katika mchakato huo, hazikuwepo katika kikao;
1. Benin
2. Burkinafaso
3. Burundi
4. Cambodia
5. Eswatini
6. Jamaica
7. Liberia
8. Rwanda
9. Samoa
10. Sao Tome & Principe
11. Seychelles
12. Togo
13. Turkmenistan
14. Venezuela

View: https://www.instagram.com/p/Cy6qeqNgoD4/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
 
MK254 nawasoma Kenya katika wapiga kura wenye akili zao.

Kwenye list wanafki wameingia mitini kama ngedere tu.
 
Hakuna nchi ya Afrika inawezs kupiga kura ya uvamizi. Afrika ina kidonda cha ukoloni ambacho palestina inaonja.
Hata Ukraine inaonja ukoloni wa USSR.
Umoja wa taifa hauna meno ya kuzuia madhalimu duniani.
 
Haya kutokwenda kupiga kura, kuna ukakasi ..
 
MK254 nawasoma Kenya katika wapiga kura wenye akili zao.

Kwenye list wanafki wameingia mitini kama ngedere tu.

Sijapenda kwa Kenya kutokupiga kura ya kuendeleza kichapo, mnapaswa mtiwe akili siku nyingine msiichokoze Israeli kisa uzombi wa kidini.
Hapa rais wangu kaniangusha, subiri nisake official link.
 
Halafu msioelewa kingereza, tafuteni nini maana ya "non-binding" na pia "humanitarian passes".......
Kichapo bado kiko pale pale.
 
Sijapenda kwa Kenya kutokupiga kura ya kuendeleza kichapo, mnapaswa mtiwe akili siku nyingine msiichokoze Israeli kisa uzombi wa kidini.
Hapa rais wangu kaniangusha, subiri nisake official link.

Siyo kosa lako mkuu hata wafu huwa hawajitambui:

F6kGqZLXMAATAgq.jpeg
 
Back
Top Bottom