Mkuu display vitu hapa watu waone taja na bei kabisa, biashara ni matangazo.
Ukifanya biashara kwa woga hivyo unatutisha kama kweli hiyo biashara ni ya kwako au kama hiyo milango ina ubora unaotakiwa.
Mambo ya marketing kwetu waTanzania yanatupa shida sana, wewe unataka wakupigie simu tu ndo useme uko upande gani wa Tanzania,kwa nini usiseme kuwa upo Katavi au Tandahimba ili uwarahisishie watu wasimalize hela zao kukupigia simu? Unapotangaza biashara make sure kila kitu kinakuwa wazi usiwe kama unatangaza biashara za magendo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.