Frem za milango na milango ya mininga kwa bei poa

jmura

Member
Apr 27, 2010
57
9
Frem za milango na milango ya mininga zinapatikana kwa bei poa. Piga simu namba 0686469903 zipo poa sana na utafurahia thamani ya pesa yako
 
Mkuu display vitu hapa watu waone taja na bei kabisa, biashara ni matangazo.
Ukifanya biashara kwa woga hivyo unatutisha kama kweli hiyo biashara ni ya kwako au kama hiyo milango ina ubora unaotakiwa.
 
Mambo ya marketing kwetu waTanzania yanatupa shida sana, wewe unataka wakupigie simu tu ndo useme uko upande gani wa Tanzania,kwa nini usiseme kuwa upo Katavi au Tandahimba ili uwarahisishie watu wasimalize hela zao kukupigia simu? Unapotangaza biashara make sure kila kitu kinakuwa wazi usiwe kama unatangaza biashara za magendo
 
natafuta frem za milango, mtoa mada hebu tutajie bei ili tuone kama tunaweza kufanya biashara
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom