#FreeMboweAndEstherMatiko... anyone?

Siasa za chuki za Jiwe,ndio maana anafananishwa na Kagame!
Chuki za kishamba zinamsumbua mpendasifa
.
IMG-20181207-WA0108.jpeg
 
Haiwezekani mtoto mbichi kama huyu anasota rumande halafu kina kibajaji wapo uraiani
Basi nichukueni mimi bwana nikae ndani uyo mrembo awe huruView attachment 961325
Wa sio kua warembo ndowafungwe(get mature) lata hoja ya kwanini anawekwa rumande wakati vigezo vya kutokukimbia nchi anavyo it's really unfair....hari kama hiyo huleta chuki na visasi kwa taifa
 
Aanze huyu kutoka anatia huruma sana huyu mrembo

Wa sio kua warembo ndowafungwe(get mature) lata hoja ya kwanini anawekwa rumande wakati vigezo vya kutokukimbia nchi anavyo it's really unfair....hari kama hiyo huleta chuki na visasi kwa taifa
 
Je, wewe ulitaka watanzania wafanyeje ili isionekane kuwa 'wamemtelekeza' mbowe kama unavyosema? Je, unashauri wavamie mahabusu wakawatoe ndani kwa nguvu?
Kwanini wanachama na wafuasi wa Chadema "wamemtelekeza" Mbowe na Esther Matiko angalau kwa mtandaoni, ambapo ilitarajiwa muda huu tukutane na hashtag kama #FreeMbowe au #FreeMboweAndEstherMatiko na vitu kama hivyo?

I'm not saying kuwa hizi hashtag zitaifanya mahakamani itoe dhamana wala haimaanishi kuwa Jiwe ataona aibu kuwanyanyasa wapinzani bila aibu. However, Sie tunaoamini kuwa "kukaa kimya ni ishara ya kuridhia jambo baya," tunadhani kelele ya aina yeyote ile dhidi ya jambo baya ni muhimu.

On the other hand, na hili linaweza kupelekea ninyeshewe mvua ya matusi, bado hainiingii akilini kuona Mbowe na Matiko walidiriki kukiuka masharti ya dhamana. Siwalaumu bali sote twafahamu kuwa the last thing Jiwe needed from them ni wao kumpa excuse ya kuwaweka ndani wanasiasa wa upinzani kwa muda mrefu kadri iwezekanavyo.

Wakati tunajua kuwa bado Jiwe angeweza kutumia excuse yoyote ile kuhakikisha japo kiongozi mmoja wa upinzani "anakula Krismasi akiwa jela," kitendo cha kina Mbowe kuvunja masharti ya dhamana - haijishi validity ya sababu zao - ni sawa na "mbuzi kufia kwa muuza supu."

Ni kitu kibaya kisichokubalika lakini unfortunately kipo na kinatokea. Anayedhani Jiwe ana limit ya kuuangamiza upinzani basi labda kalala usingizi fofofo. Mie ni miongoni mwa watu wanaohisi kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwa Jiwe kutumia kila mbinu kuhakikisha Bunge la 2020 linakuwa virtually la chama kimoja. Most of opposition MPs (watakuwa wamebaki wachache tu come 2020 after wengi wao kulazimika kuhamia CCM "kwa nguvu" au ili kulinda majimbo yao) watapoteza majimbo yao katika njia hizi hizi za kihalifu zinazotumiwa na Jiwe dhidi ya Upinzani.

Back to the major theme, je tutarajie #FreeMboweAndEstherMatiko hivi karibuni au ndio nobody gives a f*ck? (Pardon my French)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom