Freeman Mbowe, Tindu Lisu, Ndesamburo, Godblees Lema kuitikisa Arusha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Kesho saa 9 mchana Makamanda wapambanaji: Freeman Mbowe, Tindu Lisu, Ndesamburo na Mbunge wa Arusha mjini mh Godblees Lema watakuwa na mkutano na wana-Arusha kwenye uwanja wa NMC...Usikose!!!

Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu Usiogope Tunashinda...
 
Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu[/QUOTE]

Haka kamsemo kananifurahishaga sana!
 
Haya ni maisha duni kwa kila Mtz. Hao ndo wapambanaji tuwape support kuliokoa taifa kutoka mikononi mwa Chukua Chako Mapema(CCM)
 
Tuwaunge mkono hao wapambanaji wa ukweli, Patachimbika kanda ya Kaskazini, Huo ni mwanzo tu ndio kazi imeanza ya kuwashtaki CCM kwa wananchi.

Wamebana mwishowe wameachia.

Peoples power
 
Hata mimi naupenda ila ukikamilika kama hivi:

wao wanapesa sisi tunamungu usiogope tunashinda
 
Great! They should say something about this godamn craziness! Viva Chadema,Viva Tanzania.
 
Kweli mkuu,shuhuda wangu yuko na gari la matangazo.
Christmas inaelekea kuwa tamu pande za arusha!
Chadema is very strategic and very organised.
 
Mkuu kwa hira za CCM kweli wataruhusu mkutano huo?
CCM haina dira
CCM haina jipya
CCM haina nia ya kulikomboa taifa hili
CCM genge la mafisadi
CCM wauwaji wa taifa hili
CCM majangili wa demokrasia
CCM mafataki (kwenye sherehe za mwenge wanaruhusu ngoma za viuno tu na kuchagua wa kuondoka nao)
CCM chanzo cha mifarakano ya ndoa
CCM inaua elimu ya msingi, sekondary na Vyuo
CCM vibaraka wa wazungu
CCM kimbilio la waovu
CCM kisima cha maovu
CCM sasa basii
CCM ......

E mungu tuepushe na hiki chama (CCM) tuepushe pia na watu wake, wafuasi wake na hata mashabiki wake. Waliyoyafanya Arusha ni aibu
 
Tusubiri tutaona maana mapambano ndio yameanza,
huyu mkwere ana kazi kweli kweli pamoja na mamvi
lazima watu walipe kodi.
 
Mkuu kwa hira za CCM kweli wataruhusu mkutano huo?
CCM haina dira
CCM haina jipya
CCM haina nia ya kulikomboa taifa hili
CCM genge la mafisadi
CCM wauwaji wa taifa hili
CCM majangili wa demokrasia
CCM mafataki (kwenye sherehe za mwenge wanaruhusu ngoma za viuno tu na kuchagua wa kuondoka nao)
CCM chanzo cha mifarakano ya ndoa
CCM inaua elimu ya msingi, sekondary na Vyuo
CCM vibaraka wa wazungu
CCM kimbilio la waovu
CCM kisima cha maovu
CCM sasa basii
CCM ......

E mungu tuepushe na hiki chama (CCM) tuepushe pia na watu wake, wafuasi wake na hata mashabiki wake. Waliyoyafanya Arusha ni aibu
Hata mimi nina wasiwasi maana alipokuja Mbowe wiki moja kabla ya uchanguzi Arusha mjini ilisimama kwa mda wa takilibani nusu saa kuwapisha wana-chadema pongezi kwa Basilio alitumia busara kuepusha shari kuliko huyu nyangau anae tumia nguvu kuliko akili sasa kesho sijui na ukizingatia wamepigiwa mbunge wao nawashauli wasitumie nguvu kabla ya mkutano na hasa baada ya mkutano....
 
Mkuu kwa hira za CCM kweli wataruhusu mkutano huo?
CCM haina dira
CCM haina jipya
CCM haina nia ya kulikomboa taifa hili
CCM genge la mafisadi
CCM wauwaji wa taifa hili
CCM majangili wa demokrasia
CCM mafataki (kwenye sherehe za mwenge wanaruhusu ngoma za viuno tu na kuchagua wa kuondoka nao)
CCM chanzo cha mifarakano ya ndoa
CCM inaua elimu ya msingi, sekondary na Vyuo
CCM vibaraka wa wazungu
CCM kimbilio la waovu
CCM kisima cha maovu
CCM sasa basii
CCM ......

E mungu tuepushe na hiki chama (CCM) tuepushe pia na watu wake, wafuasi wake na hata mashabiki wake. Waliyoyafanya Arusha ni aibu

CCM kimbilio la wasio penda haki
CCM mnara wa upumbavu
CCM nyota ya mafisadi
CCM msaada kwa walioisaliti nchi
CCM .............
Hii nimeikubali hizo ni baadhi tu!
 
.....sitashangaa ukisikia Polisi (ya CCM) imesema haina askari wa kutosha kulinda mkutano as if mkutano huo unahitaji baracks nzima ya polisi!!! nafikiri nitawahi nikitoka Tanga na bus la saa 2 asbh
 
Wao Wana Pesa Sisi Tuna Mungu

Haka kamsemo kananifurahishaga sana![/QUOTE]

Mkubwa na kuunga mkono! Kananikumbusha hadithi ya DAUDI na GOLIATI!!!! If they are big... big TREE.... We are the small... SMALL AXE!!! And we are READY TO CUT THEM DOWN!!!!! DOWN WITH CCM and there accomplice!!!!!
 
Back
Top Bottom