Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,104
- 26,070
Kuna kiongozi yeyote wa CDM amesema nani kahusika achilia mbali kulizungumziaChadema mtafuteni mchawi katika hili sakata la BEN na siyo vinginevyo. Hizi sarakasi zinazopigwa na makada wa CHADEMA siyo za heri, porojo za kutaka kuingiza serikali, mara CCM , lumumba ni ujinga ambao hata mtoto mdogo atawadharau. Msaidizi wa Mwenyekiti anapotea bila Mwenyekiti kujua wiki tatu? prooooo.