Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

Mbowe ni takataka kama takataka zingine leo katukera sana kutamka mambo ya ukabila ,ni upuuzi wa hali ya juu sijawahi sikia Tang Dunia iumbwe
 
Mbowe ni takataka kama takataka zingine leo katukera sana kutamka mambo ya ukabila ,ni upuuzi wa hali ya juu sijawahi sikia Tang Dunia iumbwe
jitu
Mbowe ni takataka kama takataka zingine leo katukera sana kutamka mambo ya ukabila ,ni upuuzi wa hali ya juu sijawahi sikia Tang Dunia iumbwe
jitu halina akili kaabisa Mr Makengeza konyagi kilaza zero DJ
 
jitu

jitu halina akili kaabisa Mr Makengeza konyagi kilaza zero DJ

Sukuma gang naona mmechanganyikiwa kisa legacy ya mwendazake imeguswa. Kwani uongo mwendazake alikuwa mkabila wa wazi wazi. Tatizo hampendi kuambiwa ukweli na ukweli ukisemwa kila siku mtakuwa mnachanganyikiwa maana huyo mwendazake wenu alifanya mambo mengi sana ya ovyo.
 
Mbowe ni takataka kama takataka zingine leo katukera sana kutamka mambo ya ukabila ,ni upuuzi wa hali ya juu sijawahi sikia Tang Dunia iumbwe
Mkabila ni yupi - aliyekuwa anafanya mambo kwa upendeleo au yule anayenena kuwa kuna upendoleo?
 
Kamanda mkuu Mbowe na chama kitukufu CDM hongereni mno kwa juhudi kubwa mnazofanya za kuturudisha watanzania kutoka utumwani. Wengi tulishapoteza utu wetu. Mungu awabariki sana!
Mwamba Mbowe ameingia Bunda Mkoani Mara katika Mkakati unaotikisa wa Operesheni Haki , amelakiwa na maelfu ya wanachama na viongozi wa Chadema wa eneo hilo na baadaye akaongoza kikao cha Kimkakati cha mashauriano.

View attachment 1802937View attachment 1802938View attachment 1802939View attachment 1802940

Kweli zama zinabadilika, vitu kama hivi vilikuwa vigumu sana kutokea miezi michache iliyopita.

Mungu ibariki CHADEMA

Sawa komredi.....

Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!!

#TaifaLetuNiMoja
#WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila

Bado naona unyonge... Yuko wapi Kamanda Heche? Wale makamanda wa ukweli mpo wapi?

RIP camanda Alfonce Mawazo

Mkabila sana huyu mwenyekiti wetu Mbowe. Ni mwemyekiti lakini leo nimemdharau sana. Nimeanalyse ile discourse, stylistically anamaanisha chama kianze harakati za kutetea wachaga dhidi ya wasukuma! Sijui wanachama wasukuma walivyoipokea hiyo political discourse ya mwenyekiti! Sijui, naweza andika mengi sana ila itoshe tu kusema kuwa nimeghadhabishwa sana na maneno ya mwenyekiti. Ukabila, uoga na unafiki wa mwenyekiti umemkosesha sifa ya kuwa kiongozi wa taasisi yeyote ya kitaifa. Labda katiba ya chama ibadilishwe itamke bayana kuwa ni chama cha wachaka! Ovyo kabisa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

Matapeli wanakula ruzuku

nyie wachaga na tapeli lenu hilo lenye makengeza mnalitembeza la nn jitu jizi likabila
 
Back
Top Bottom