Freeman Mbowe kufanya ziara Hanang yenye lengo la kutoa Rambirambi kwa Wahanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,337
219,693
Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .

Screenshot_2023-12-06-13-06-09-1.png
 
Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .

View attachment 2834571
Asante kwa taarifa, hii ni ziara muhimu kuonyesha solidarity, Watanzania ni wamoja katika shida na raha, na issues za Kitaifa, misiba, majanga, sherehe za Kitaifa, tunasimama pamoja, tunashikana mikono kusaidiana, kusupportiana na kufarijiana.

Big up sana Mbowe, Big up Chadema.

P
 
Ingependeza angeenda kesho uso kwa uso na samiaa itakuwa tukio Kali Sanaa

Sipati picha kesho namuona samiaa na buti wakizunguka Huku na kule kuona uharibifu Huku mbowe nae akizunguka Hulu na kule kuona uharibifu na timu Yale

Kesho tunachotaka hakuna mkutano Wala nin Ni samiaa kuvaa buti kuingia mtaani kuwapa wananchi pole siyo Mambo yakwenda kufanya mkutano
 
Ntakuwa sikuuona huo uzi ningesifia tu
Ila kuna watu ni kama vile wana mimba za viongozi wa chama fulani, chama chake kikifanya jambo fulani bc ataifanya hy habari kuwa kubwa lkn chama kingine kikifanya jambo hilo hilo atalaani chama hicho
 
Ni kama afanyavyo Lucas Mwashamba.
Ni haki yao maadam hawajavunja katiba.

Ukiona unachukia au kushangaa basi shida iko kwako na wala sio kwao.
 
Back
Top Bottom