Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time

Au frequency hii 530
Hiyo ni kweli unapata hizo channeli za buure,nilipokuwa huko hapo zamani nilikuwa najipatia za bure ,kwa sasa huko niliko baado sina ujanja ila ila nimeambiwa ujanja wa kulipa kifurushi cha 20,000 na kuendelea kupata channel za kifurushi cha 40000,wabongo bana nuksi,ni kama wote wamesoma ''Havard''
 
kaka naona kwa 530Mhz mzigo unapga kaz kama kawaida!!!! sasa tatizo ndo haka ka ujumbe "Non-Conax Program"
kwenye screen tunakatoaje???????????:A S 39:
A%20S%2039.gif
530 Mhz (dsm) imekataa
 
Nipo Songea na natumia LED TV kutoka Hisense ambayo ina uwezo wa kudaka channel za free hadi sasa nimefanikwa kupata Star tv, nifanyeje nipate ITV NA CHANNEL TEN
 
Unatuyeyusha mkuu,haikubali kabisa jipange tena mie king'amuzi changu nilinunua 2010 kipindi cha kombe la dunia.

Mambo hayo ni kwa ajili ya ving'amuzi matoleo ya pili na kuja hivi karibuni. Vile vya mwanzo ni kweli havikubali
 
Back
Top Bottom