PRISCUS JR
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 448
- 236
Kwa mwanza vipi mkuu? nipe maujanja
Kutoa Ile warning Bonyeza Subtitle kwenye remote yako itaondoka!
Hiyo ni kweli unapata hizo channeli za buure,nilipokuwa huko hapo zamani nilikuwa najipatia za bure ,kwa sasa huko niliko baado sina ujanja ila ila nimeambiwa ujanja wa kulipa kifurushi cha 20,000 na kuendelea kupata channel za kifurushi cha 40000,wabongo bana nuksi,ni kama wote wamesoma ''Havard''Au frequency hii 530
530 Mhz (dsm) imekataakaka naona kwa 530Mhz mzigo unapga kaz kama kawaida!!!! sasa tatizo ndo haka ka ujumbe "Non-Conax Program"
kwenye screen tunakatoaje???????????:A S 39:
530 Mhz (dsm) imekataa
Frikwisi = Frequency,Chezea shule za kata ee
Unatuyeyusha mkuu,haikubali kabisa jipange tena mie king'amuzi changu nilinunua 2010 kipindi cha kombe la dunia.