TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam.

Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda cha vifungashio na kiwanda cha kuchakata mafuta ya pamba pamoja na uwanja Mpya wa Kisasa uliopewa jina la ‘Fresho Complex’ uliopo katika eneo la Ugweto kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga,Pia ni kaka mkubwa wa Hillary Shoo mwenye viwanda vya Maji ya HILL,Hill Feeds na Kiwanda cha vifungashio cha Hill...
Na mdogo wao Harold Shoo maarufu HARSHO wa Moshi mwenye kiwanda cha Vifungashio Kwa Sadala Moshi kama HARSHO Packaging maarufu kwa Mifuko ya Super Sokoni.

Mungu Ailaze Mahali Pema Peponi Roho ya Marehemu Fresho. Amina

UF3A1581.JPG.jpg

Pichani: Aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John Magufuli akikata Utepe kuzindua Kiwanda cha Vifungashio cha FRESHO Shinyanga mwaka 2017 kushoto kwake mwenye Jaketi la Bluu bahari ni Marehemu Fredrick Shoo.

20210731_165656.jpg

20210731_165628.jpg

20210731_165600.jpg
 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam.

Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda cha vifungashio na kiwanda cha kuchakata mafuta ya pamba pamoja na uwanja Mpya wa Kisasa uliopewa jina la ‘Fresho Complex’ uliopo katika eneo la Ugweto kata ya Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga,Pia ni kaka mkubwa wa Hillary Shoo mwenye viwanda vya Maji ya HILL,Hill Feeds na Kiwanda cha vifungashio cha Hill...
Na mdogo wao Harold Shoo maarufu HARSHO wa Moshi mwenye kiwanda cha Vifungashio Kwa Sadala Moshi kama HARSHO Packaging maarufu kwa Mifuko ya Super Sokoni.

Mungu Ailaze Mahali Pema Peponi Roho ya Marehemu Fresho. Amina

View attachment 1875353

Apumzike kwa amani mja huyu wa mola.

Yale mambo yetu yapo j3 vunja jungu, j4 kwa raha zetu.

#COVID19 - Wizara ya Afya: Serikali imeanza kusambaza Chanjo ya Uviko-19 mikoa yote nchini

Eeeh Mola wetu tujalie kuiona j4 ile njema yenye Nuru mpya iliyokuwa imecheleweshwa mno na yule malaika kiongozi.
 
Waafrika tunakataa chanjo ya corona

wakati huo huo binadamu wengine wanaiogopa corona huku wakiwa wamechanjwa

Dunia imechangamka kweli😅

Siyo tu, Babu Loliondo alikuwa akitibu na kutoa kinga dhidi ya Corona kwa kikombe cha jero. Aliwafanya hayo bila kuwa ba maji tiririka, sabuni, wala kuvaa kuvaa barakoa.

Mtoa tiba ya Corona babu wa Loliondo hakuhitaji hata PPEs akiwa na baraka zote za wizara ya afya na serikali, huku wakimsalimu kwa jina la JMT.

#COVID19 - Wizara ya Afya: Serikali imeanza kusambaza Chanjo ya Uviko-19 mikoa yote nchini

Tutawahoji hawa siku moja, ngoja tuchanjwe kwanza.
 
Waafrika tunakataa chanjo ya corona

wakati huo huo binadamu wengine wanaiogopa corona huku wakiwa wamechanjwa

Dunia imechangamka kweli😅
Wote waliokuwa karibu na mpinga chanjo ...mwendazake Meko wanadedi...

Mama Samia na Majaliwa wajanja sana. Wamestuka mapema wamejidunga...

BTW... where the hell is our beloved speaker??

RIP mwekezaji Fresho...
 
Back
Top Bottom