Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

We mbwa wa kike,,hata nusu ya maisha ninayoishi huwezi KAMWE kuyafikia,,,mimi sio mlamba miguu wa mbowe,,I am a free thinker: elimu yangu:exposure yangu na mengineyo kamwe hutoweza hata kugusa mbilikimo wewe;kondomu ya mbowe:

I hate Ufisadi,,and I will shout as loudly as I can,,FREELY

Hilo zee zezeta lenu mbowe aliloliokota ni JIZI; tena JIZI PAPA.

I will loudly shout bila mbilikimo kama wewe kunikwaza:

Mkeo amerudi hapo kigamboni,,si tulikuwa naye hapa posta

..kumbe umejaza chuki binafsi tu kwa lowasa,hayo maneno yako machafu pelekea wazazi wako nyumbani waliokulea wakakwambia ukikua uwaonee wivu wanaume wenzio!
Km kweli ungekua mzalendo ungeorodhesha na wagombea wenu wa ubunge,chenge,ngeleja,tiba,riz wote...uliajiriwa nao ukalipwa mshahara nao, leo unajidai kuleta domo huku..
#shutup!
 
Fred utajiri wake ni wa kurithi wala huna haja ya kushangaa.
Kichwa cha habari kungekuwa
Rizi one Jakaya na utajiri wa ajabu
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

lowasa kaachwa mbali sana na kenyata kwa issue ya utajiri...
 
Hapo yupo na MUUZA MADAWA YA KULEVYA(COCAINE;HEROINE) number moja kushoto,,,Wote hao na Kinje wanaombea Mzee aingie ikulu ili wamalize kabisa vijana wa dar es salaam kwa unga( unga ndo ajira ya lowassa kwa watanzania)

Mkuu swali: Unafahamu kwa nini serikali imeshindwa kuwachukulia watu hawa hatua stahiki hadi wamefikia sifa kama hiyo (MUUZA MADAWA YA KULEVYA (COCAINE;HEROINE) number moja)?

Tuseme nao tunasubiri iundwe mahakama ya mafisadi/wauza madawa ya kulevya? Kwa mtindo huo hiyo imani kwamba utawala wa CCM utakuwa na ubavu wa kudhibiti ufisadi baada ya kushindwa miaka yote itatoka wapi? Tunachokiona ni kila anayepata madaraka ndio anainukia hapo kiutajiri. Basi usishangae kusikia watu wakisema kipaumbele kikuu ni kuiondoa CCM madarakani, mengine baadaye!
 
Huyu alieleta hii mada hata jiran zake wana kazi nahisi kila siku anawafatilia kujua wamekula nini, wakila kuku atataka kujua pesa ya wamepata wapi. We badala ya kujadili maisha yako na familia yako unaumiza kichwa kujua ya fred yatakusaidia nini.acha ujinga
 
umaskini si sifa jamani!! kila kukicha ooh wa tz ss ni maskini ooh tunataka kiongozi maskini mwenzetu mbona hatuambii muda wake ukiisha bado anakuwa maskini?...non sense ideas not allowed now...we're tired now and gonna change the political party its better to teste other party rather than existing party....iviva changes
 
We mbwa wa kike,,hata nusu ya maisha ninayoishi huwezi KAMWE kuyafikia,,,mimi sio mlamba miguu wa mbowe,,I am a free thinker: elimu yangu:exposure yangu na mengineyo kamwe hutoweza hata kugusa mbilikimo wewe;kondomu ya mbowe:

I hate Ufisadi,,and I will shout as loudly as I can,,FREELY

Hilo zee zezeta lenu mbowe aliloliokota ni JIZI; tena JIZI PAPA.

I will loudly shout bila mbilikimo kama wewe kunikwaza:

Mkeo amerudi hapo kigamboni,,si tulikuwa naye hapa posta
Mijitu mijiongo utaijua tu. Uko Scandinavia but ulikua na Mke wa Yericko Posta??

R.I.P Kamanda Mohamedi Mtoi
 
Last edited by a moderator:
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

hahaha unajidanganya, hata huyo anaye maliza muda wake usiye na time naye aliingia kama huyo unaye taka kutuaminisha ni msafi. .lakini hatoki vilevile tena siyeye wala watoto na wajukuu zake. .Nadhani kwakuwa huyu El anaingia na utajiri kama unavyosema ni tajiri hivyo basi anafaa zaidi kuliko atakae kwenda kusaka utajiri. .
 
Hongera kwa utajiri huo,hata mohamed dewj kapata utajiri toka kwa baba yake,siku zote kama wazazi wako viziri kiuchumi nawe ukapata malezi mema hakika watakuamini na kukupa mtaji au urithi,chamsingi nawe pigana watoto na uzao wako uishi kama watoto wa lowasa,pole kwa kuumia roho ila hacha wivu wa kike
 
Huyu alieleta hii mada hata jiran zake wana kazi nahisi kila siku anawafatilia kujua wamekula nini, wakila kuku atataka kujua pesa ya wamepata wapi. We badala ya kujadili maisha yako na familia yako unaumiza kichwa kujua ya fred yatakusaidia nini.acha ujinga

Anazo sifa zote za nyumba ndogo au ukewenza sababu ana wivu wa kike balaa na ana hasira, uchungu, ghilba na uroho wa asivyonavyo mwanaume ni kupambana na sio kuwafuatilia wanaume wenzako kama malaya.
Kama ni ufisadi ningemuunga mkono Lakini hata Mwalimu Nyerere alikiri mwenyewe LOWASSA alikua ana utajiri wa kutisha tokea akiwa kijana mdogo sana tofauti na umri wake.

Na kipindi cha Mwalimu Nyerere kulikua hakuna
Msamiati wa ufisadi.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco
Hata ukiwa mahiri wa kujibu marefu yenye tija lakini ukichanganya na jibu moja la ovyo na majibu mengine yote mazuri yanakuwa ya ovyo kwa mtindo uleule wa samaki mmoja akioza...
Yaani mtu awe na utajiri wa kutisha ambao hauwezi tolea maelezo yanayojitosheleza unathubutu kumuita mtu ambaye anaona hilo si sawa ana wivu, mburula wewe, mpumba.vu wewe, mlamba viatu wa Lowassa wewe siku zote.
Ni busara ya kawaida tu kuhoji mtumishi wa umma au mtoto wake anapokuwa ana pesa ndefu sana tena ambayo hai'tally na kodi anazolipa. Mpuuzi sana wewe.
Mimi kwangu Lowassa ni fisadi tu kama na wenzake wengine wote walio CCM na very soon itakushangaza kukuta hata mzee wa kubadilishia gia angani ni fisadi wa kutupwa, anayejificha kwenye mihemko ya wananchi na kibwagizo chao cha mabadiliko muda huu.
 
Mijitu mijiongo utaijua tu. Uko Scandinavia but ulikua na Mke wa Yericko Posta??

R.I.P Kamanda Mohamedi Mtoi
Hahahaha!
Labda yupo kwenye garage analokota scraper za buses za Scandinavia mshona malapa tu huyo hana lolote msameeni bure.
 
Last edited by a moderator:
Hata ukiwa mahiri wa kujibu marefu yenye tija lakini ukichanganya na jibu moja la ovyo na majibu mengine yote mazuri yanakuwa ya ovyo kwa mtindo uleule wa samaki mmoja akioza...
Yaani mtu awe na utajiri wa kutisha ambao hauwezi tolea maelezo yanayojitosheleza unathubutu kumuita mtu ambaye anaona hilo si sawa ana wivu, mburula wewe, mpumba.vu wewe, mlamba viatu wa Lowassa wewe siku zote.
Ni busara ya kawaida tu kuhoji mtumishi wa umma au mtoto wake anapokuwa ana pesa ndefu sana tena ambayo hai'tally na kodi anazolipa. Mpuuzi sana wewe.
Mimi kwangu Lowassa ni fisadi tu kama na wenzake wengine wote walio CCM na very soon itakushangaza kukuta hata mzee wa kubadilishia gia angani ni fisadi wa kutupwa, anayejificha kwenye mihemko ya wananchi na kibwagizo chao cha mabadiliko muda huu.

Acha upuuzi unahoji nini kama sio wivu wa kike! Kiasi cha pesa ya chenge alyoita vijisenti mbona huhoji,Lake oil na malori ya d.mosha kama mwavuli wa mkulu riz1mbona huhoji! Hata mpake vipi hatubadiliki rais wetu Ngoyai!
 
Back
Top Bottom