Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Afya ya Mpango tangu apigwe na covid-19 nadhani sio ya kutegemea!ya Edo tuyaache kabisa!! LAKINI kwa series za vifo vya viongozi wa umma vilivyotokea Mpango hawezi akategemewa kutuvusha hadi hapo 2035 !!Labda Mwinyi junior ndio mwenye sifa tajwa kuwa intelligent,humble,patriotic etc!! Mkonga mpya wa Taifa wa network kule zenji unambeba Kama sifa tajwa za Tumia akili!!!
Hapana.

Ukikaunti miaka 12.

Si yeye...

Ni Philip Mpango
 
Lakini nyie the state mnatukosea Sana!!kwanini mnafanya majaribio ya Maisha ya watu??kama hiki ulichoandika ndio halisi kwanini msingempa madaraka mtu wenu mapema hapo 2015 mkampa yule ambaye mlimuexcute Baada ya maumivu ya watz ya muda mrefu?? sasa leo mnataka kuanzia upya mageuzi kwanini wakati mageuzi ni machungu Sana??? Sasa hapo ni kama tunaanza mwanzo kabisa wakati nchi hii inamiaka 60 tangu tupate uhuru!!!mmeiacha ccm kama chama Cha mauaji na genge la mafisadi yanayobebana na kuitafuna nchi!!!Kama hayo mageuzi yanakuja basi yaje kwa nembo mpya ya chama coz CCM Ina damu nyingi Sana na kukosa uhalali wa kuendelea kupendwa na watz!!
Usiogope hakuna aijuae kesho.
Jakamoyo msoga
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Nazi germany wakijenga barabara au reli kwa wingi?
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
sawa kaka Nape umeeleweka. Endelea kutema material mkuu, kumbe unaijua history vzr.
 
labda kama unamaanisha katiba mpya itatengenezwa mwaka huu 2022 na samiah atagombea tena na kupitishwa kwa miaka 10 ukiongeza na hii 2 anayomaliza jumla ni 12, hapo sawa.

samiah ni mama mzr na mchapa kazi, analiongoza taifa vzr, bado tunamtaka na kumuhitaji na ulinzi aongezewe.
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.

Kumlinganisha FDR na Hangaya ni sawa na kumlinganisha mamba na mjusi. Jifunze kuwa na haya!
 
Mh! We jamaa

Screenshot_20220121_063830.jpg
 
Watafanya mechanism gani ili kumtoa Mpango?
Magufuli yeye aliondokaje? Tumuombee tu Mpango. Kuna watu walifura alipoteuliwa umakamu wakidai hakijui chama wakaenda hadi kumtusi rais eti ana elimu ya kuungaunga kama ya mzee Mwinyi.

Pengine kama mtu wao waliyemtaka kwenye umakamu angepenya, leo hii samia angekuwa historia.
 
Back
Top Bottom