Frameworks for Enterprise Java

Dubo

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
322
17
Katika huu uzi nitakuwa naweka link za framework tofauti tofauti za Java, nimegundua kuwa madeveloper wengi wa Tanzania hawana ufahamu wa framework za Java. Leo nimeanza na Seam Framework kwa ajili ya kuundia Java Enterprise web applications

Ndugu zangu madeveloper, napenda kuwapeni hizi link mbili kwa wale wanaopenda kuandika web enterprise application za ukweli kwa kutumia Java. Hii framework ni nzuri sana, nimetokea kuipenda baada ya kuanza kuitumia.Nimianza kuitumia hii framework mahali ninapofanya kazi na bado sijawa mtaalamu nayo kivile.

Seam Framework - JBoss Seam

Note: Hii ni kwa ajili ya web application tu, haitumiki kwenye Desktop application (GUI)

Seam 2: Compatible with JEE 5
Seam - Contextual Components

Seam 3: The latest, Compatible with JEE 6
Seam Framework - API and Reference Documentation
 
Better than struts or spring mvc?

Tukitazama 3 tiers (Layered) architecture

  • Data Access Layer
    • JPA
    • JDBC
    • JDO
    • File System
  • Business Logic (Service) Layer
    • EJB
    • Spring
    • Seam
  • Presentation Layer
    • JSF
    • Spring MVC
    • Swing
    • Struts
    • Apache Wicket
    • JSP
    • Servlet
    • GWT


Seam inapatikana kwenye Business Logic Layer kama ilivyo EJB na Spring (Sio Spring MVC),
Struts na Spring MVC zinapataikana kwenye Presentation layer.

Kwahiyo hizo framework zina kazi tofauti na hatuwezi kuzilinganisha. Nadhani umenielewa
 
with struts you can separate just as u said: You can have:

-> Data Access Objects
-> Business Objects
-> System components

It implements thew MVC Model 2. Separates model, view and controller. The model takes care of the business logic, then hio view our JSP pages. Finally our ActionServlet.

I have never done spring, but I think its kind of the same pattern.
 
Back
Top Bottom