mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,984
Ni kweli mkuu inatumia rotary engine inakula wese si mchezo na oil balaa lkn ukiiweka barabarani ni heshima mkuu inakimbia si mchezo na iko stable uzuri weight ratio yake ni 50:50 kwa hiyo kukata kona na speed kubwa sana wala sio tatizo mkuu.Kiongozi Mazda rx 8 nilisikia inatumia Rotary Engine, cc ndogo lakini inabugia wese kuliko hizi za piston zenye cc sawa. Ila inakuwa na nguvu sana