Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

That's Barrick for you. full of cowboys! Adam Kimbisa anakuambia 'technical know who?
 
Huyu Ole Naiko inaelekea ana ujuzi wa Madini pia maana aliwahi hata kuwa pale Kiwanda cha Minjingu Phosphate enzi hizo.
 
Wadau inakuwaje hii nchi?
Aliyekuwa mkuu wa kitengo cha uwekezaji bw emanuel ole naiko sasa hivi ni mkurugenzi wa masuala ya kiserikali ya kampuni ya african barick gold.
Hii inaingiaje akilini ikizingatiwa kuwa huyu bwana ndiye aliyeipokea hii kamuni akiwa mkurugenzi?
Je hii kampuni inamilikiwa na nani?
Je inalipa kodi kama waliokuwa upande wa serikali sasa hivi ni wakurugenzi wake?
Wadau naombeni mnitoe hapa.

In this country there is the so called total Governance failure!this is only possible in tz!
 
Nadhani hawa jamaa watakuwa wanamlipa fadhila kwa "mema" aliyowatendea wakati alipokuwa bosi wa TIC. We angalia hata hiyo post waliyompa hapo ABG ni zile za kutengeneza kwa ajili ya mtu fulani, mara zote post kama hizi hata kwenye ORGANOGRAM au ORGANISATION CHART huwa hazipo. Tumekwisha. changanua.
 
Sasa hivi atawambia kabila lao linaonewa...haya masuala ya ukabila na udini yameletwa kusudi kabisaa
 
Back
Top Bottom