Nyerere ndio mjanja so far...wengine waendelee kujikomba kwa wathungu
Sisi wenyewe watanzania/raia ndo tunachochea hizi tabia za watu kuwa wezi, mana tunawasifia na kuwabeza waadilifu.Mzee Mangula kastaafu u-katibu mkuu kaenda kijinywea ulanzi mnamcheka, unadhani walioko kwa power wakiona hivyo watafanyaje?