Form six wote soma hapa.

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Form six kutokana na waraka wa wizara elimu ,mtihani utafanyika mwezi wa tano wiki ya kwanza.sasa haijajulikana kama,utakuwa na effect kwa 4m 6 wa sasa.kama una la zaid au ukweli wowote tupia hapa.mana bado ina changanya,waalimu wenyewe hawajajua bado zaid kuhugru hili
 
Mimi siyo form 6 ila ni mdau wa elimu. waraka huo nimeuona na ni wa trh 21/09/2012. tembelea wavuti wa wizara ya elimu na utaupata waraka huo. waraka uko wazi hivyo wanafunzi wote wa kidato cha 6 wakiusoma watauelewa tu. ukiupata nenda ktk ukurasa wake wa 2 ktk jedwali la juu na utaona kabisa kuwa wanafunzi walio F6 mwaka huu ndiyo watakaokuwa wa kwanza kuathiriwa na waraka huu kwani watafanya mtihani wao mei wiki ya 1 mwaka 2013.nawasilisha mkuu.
 
mbona naskia ratiba ya mitihani ya form 6 imeshatoka na kuonesha wanafanya february
 
Mimi siyo form 6 ila ni mdau wa elimu. waraka huo nimeuona na ni wa trh 21/09/2012. tembelea wavuti wa wizara ya elimu na utaupata waraka huo. waraka uko wazi hivyo wanafunzi wote wa kidato cha 6 wakiusoma watauelewa tu. ukiupata nenda ktk ukurasa wake wa 2 ktk jedwali la juu na utaona kabisa kuwa wanafunzi walio F6 mwaka huu ndiyo watakaokuwa wa kwanza kuathiriwa na waraka huu kwani watafanya mtihani wao mei wiki ya 1 mwaka 2013.nawasilisha mkuu.

nahisi ni sawa mkuu ulivyosema maana waraka wenyewe ukisoma vizuri unasema unaanza kutumika kuanzia 1/1/2013
 
Form six kutokana na waraka wa wizara elimu ,mtihani utafanyika mwezi wa tano wiki ya kwanza.sasa haijajulikana kama,utakuwa na effect kwa 4m 6 wa sasa.kama una la zaid au ukweli wowote tupia hapa.mana bado ina changanya,waalimu wenyewe hawajajua bado zaid kuhugru hili
hapo kwenye red ndo nini???
 
Inaweza ikawa Impact ya kurudisha JKT hiyo ili watu wapate nafasi ya kwenda JKT
 
Back
Top Bottom