NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
Na mm nina mdogo wangu amepata Div IV ya 27;
Phy D
Bio C
Chem D
math D
kisw D
Geo D
Civ D
His F
Eng F
hlfu chaguo la kwanza alijaza vyuo na la 2 alijaza Advance
TUSAIDIANENI JMN MAWAZO ILI HAWA WADOGO ZETU WASIWE VIBAKA.
angalia post imewekwa lini.
mabonde KWINAMA nhii uko osie?hayo matokeo ya unayoonyesha ya mdogo wako ni ya mwaka upi?nisaidie matokeo ya mwaka 2012/2013 ya kidato cha nne yametoka au bado?pls nisaidie kujua,ninaishi kijijini vitu kama hivi ninakumbana navyo mara moja moja sana kwa bahati tu
hapa mpaka kesho nitarudi tena kuja kuchati kwa helini narudi kijijini kwetu mabonde KWINAMA.
wakuja mi na jambo 1 naomba mnipanue mawazo kidog kwan mi n mhitim wa 4m 4 mwak jan na mim napend PCB ila P-d,C-c na B-b sasa sielew kama kuna uwezekan wa kuchagulhw au la!? Af vilevile iv nikichua CBG naweza fanya mambo gan apo mbelen ambayo yanaweza kunitoa kimaisha naomben mnisaidie wakubwa.......
Mkuu Sizinga, mdogo wangu amepata hivi:
Civics-C
Engl-B
Kisw-B
Bio-D
Maths-F
Geo-C
Hist-D
Ana option gani?
Jamani nisaidieni nina IV ya 27 CIV-F GEO-F KISW-C HIST-F ENG-D MATH-F BIO-C PHY-D CHEM-C nataka niende form five katika shule za private nikasome PCB. Hivi kwa hilo itawezekana
ndio unaweza kwenda ila huo mswaki wa maths utakupa shida mbele..ila kamua a-level kuna kozi nyingi tu ambazo unaweza kuenroll high learnNina division 3 ya 22
math-F
Bio-D
Civ-D
Geo-C
Hist-C
Eng-C
Kisw-C
B/Keeping-C
Comm-C
Je naweza kwenda combination za biashara???