Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,850
F ya physics alafu kaenda muhas?!?!?!?!?!?!?!?!Unasoma bila tatizo lolote.! Kwenye Udaktari wanaangalia sana Chemistry na Biology, mimi mdogo wangu alisoma CBG ila yupo MD mwaka 3 pale MUHAS.! na kuna jamaa yangu nilimalizaga naye Form 6 miaka hiyo alikuwa na B ya Chemistry, B ya Biology na F ya Physics lakini alichaguliwa kusoma MD pale MUHAS na sasa ni Daktari mzuri tu.! Cha muhimu uwe na ufaulu mzuri kwenye Chemistry na Biology