Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 535
- 224
Ukiwa na Credit mbili
hukidhi vigezo vya kuingia kidato cha tano na hutakiwi kufanya mtihani
wa kidato cha sita.Ila unaweza kwenda hizi shule za Private (at your own
risk) kusoma huku ukijiandaa kurudia mtihani wa kidato cha nne,mungu
bariki ukifaulu na kupata credit moja au zaidi basi inakua umetatua
tatizo maana itakapofika mda wa kujiandikisha kufanya mtihani wa kidato
cha sita utajaza zile fomu na kuonesha credits ulizonazo ambazo zitakua
tatu au zaidi.Ila usipofaulu huo mtihani wa kidato cha nne unaorudia
basi hutoweza kufanya mtihani wa kidato cha sita kwa sababu hutokidhi
vigezo;Utakua umepoteza muda wako pamoja na pesa zako,Ila vizuri uchukue
hiyo risk.
hapo nimekupata vizuri mkuu,likini kuna mkuu anadai eti siku hizi ni lazima ku resit masomo yote na sio uliyo feli tu? maana ukiangalia m atokeo ya resiters mwaka huu yanaonesha kuna watu walili resit masomo mawili je mkuu hii ni kweli?