BabaDesi,
NENO LA ZIADA KUHUSU QUESTNET
Jihadharini na QuestNet. Wanapromoti kiglasi kinaitwa "bio disc". Glass hii ni kiini macho tu haina value yoyote inayoshabihiana na bei ya $500 hadi $600 wanayouza.
Nimeichunguza glasi yenyewe, nikakaa nayo kwa muda wa wiki moja kwenye friji kama wanavyopendekeza na hakuna chochote ilichobadilisha.
Ni glasi ilinayotengenezwa nchini Ujerumani kwa kutumia material yale yale wanayotengenezea glass za madirisha. Sema QuestNet wameongeza porojo nyingi sana kuhusu huto tuglass eti kwamba ina nguvu za ziada (+ve energy) za kuimarisha chakula na mwili wako.
Gharama ya kutengeneza unit moja ni $10 mpaka $15. Lakini wao ili waweze kukuibieni vizuri wanauza $500 mpaka $600. Cha juu hapo kati ndio chakula cha wazee wa upline.
Nimekutana na watu sita mpaka sasa ambao wametapeliwa na QuestNet na hawana cha kufanya maana walikubali kununua wenyewe kwa hiyari yao.
Inasikitisha sana. Ndio maana wahenga walisema ikiwa unaona elimu ni ghali basi jaribu ujinga.
to all Tanzanians,
of all the years i have lives in different countries huku uzunguni i have never seen anyone paying premium for these chemicals!people pay premium for natural stuffs.too bad due to high population and costs they end up getting half-natural stuffs.
either way,tumia $100,000 to buy a brand new porche but don't spend more than $100 on processed food no matter how "healthy" they tell you those things are.
remember them milk scandals,those pundits were trying to tell us that their milk(processed) was better than ours(natural).Guess what,they added melanin and so many other chemicals to enhance protein "imagery" of the milk!
so many packed food stuffs we buy from Shoprite and any other supermarket in this world is just plain chemicals.
if you want to be Healthy EAT food not supplements.its sad mtu anaukosefu wa Vitamin badala ya kula vitamin rich fruits/foods anafakamia makemikali ya GNLD.
kuna crap zao..,oh ukila hii utaongeza memory,utaongeza vision,CRAP!!dont take that watanzania.these guys are doing what they did 200 years ago,taking diamonds in exchange for shanga(plastic).
when we want to buy their stuffs,cars,watches etc they bring all the crap about how difficult and time consuming it takes to make one hence justification to high prices.
lakini wao wakija nunua Shubiri kwetu,they say its useless,and they are helping us,soko la dunia liko chini,uchumi wa dunia mbovu, and so many other craps.ili mradi tu watunyonye.
haya majamaa hayajaishia kwenye vyakula tu, sasa hivi its a very common sigh seeing imported furniture sold at premium prices,while they are of every low quality.
na sisi watanzania wafata mikumbo wala hatuulizi mara mbili,tunanunua tu.
Bottom line is nothing packed in a beautiful package,smells good or is told to help facilitate this and that actually does any of that stuffs.they are just plain same things we have abundantly here in Africa.its just education we lack.
Hizo ndizo ajira alizosema Mheshimiwa sana Kapuya kuwa wametengeneza ajira 1 m,ukiwaona hao Forever Living pale Millenium wanavyohangaika,utashangaa kila mtu wanataka ajiunge nao,ukiwashiti wanakuwa wakali kama mbogo.No easy money ndugu zanguni,
Kwa wale waliotumia product za Forever Living Product, ni natural au?.Nimeuliza make kuna watu wamenibebea bango kwamba ukitumia FLP ni nzuri na unakuwa kijana kabisa,kama una 50years unafanana na kijana wa 30years,je hazina "negative effect"?
Pamoja na mapungufu yake, products za GNLD ni very effective katika kusaidia wagonjwa; hasa wenye upungufu wa kinga ya mwili. Karibu wote ambao wametumia kwa kweli hali zao zimebadilika kabisa na utadhani hawana tatizo la kiafya. Kwa hiyo tusi -zibeze, jaribuni mtaona na kuthibitisha ubora wake au la.