Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
Hivi ni vitu gani wanajamvi? Vina tofauti na DECI? Vinatofauti na zile stori za 'alikuwa kipofu sasa anaona; alikuwa kiwete sasa anatembea'?
kindly update.
kindly update.
ah mkuu si unajua ushamba mara nyingi husaidia.Msanii,
Sidhani hizi products zina madhara ikiwa utazitumia kabla ya muda wake wa expiry kufika.
Hali kadhalika, TDFA wanazitambua:
Orodha ya vipodozi vinavyotambuliwa na mamlaka ya chakula na dawa
Naona mmezitaja nyingi ila kuna moja inaitwa swissgrade sijui kama ipo. Na Tianshi kutoka china sijui kama mnaifahamu. Ngoma ni mule mule wizi....
Ukitaka kujua kama tianshi ipo au la.Msanii hiyo Tianshi imeenea sana bongo? Nimewahi kuisikia tu ila naona gnld na fl ndo zenyewe yani watu wengi wamejiunga..
Mtu kama huyo ni dhahiri atakuwa tayari kuwaonyesha wengine namna alivyoweza kufikia hatua hiyo. Hasa ukizingatia kwamba kwa kufanya hivyo atafanikiwa kukushawishi na ku-recruit members wapya. Ukitaka kujua kuna longolongo, jaribu kuulizia hiyo kitu.Hakuna kitu rahisi/cha bure duniani.
Ni kweli kabisa kuwa Network/Multi-level marketing zinalipa lakini ni kwa wale walio tayari kujituma na wenye malengo kujenga mtandao/timu imara. Kwa mfano kuna watu ninaowafahamu wameingia kwenye forever living na hivi ninavyongea wanalipwa hadi dola 10,000 kwa mwezi, lakini walichapa kazi kweli kweli kufikia hapo sio lelemama.
Watu wengi wanakosea kufikiria ukiingia kwenye biashara hii hela inapatikana bwerere lakini inabidi kweli ukaze buti ujitume kujenga mtandao wako.
Mtu kama huyo ni dhahiri atakuwa tayari kuwaonyesha wengine namna alivyoweza kufikia hatua hiyo. Hasa ukizingatia kwamba kwa kufanya hivyo atafanikiwa kukushawishi na ku-recruit members wapya. Ukitaka kujua kuna longolongo, jaribu kuulizia hiyo kitu.
The emphasise iko kwenye kununua bidhaa. Ili uweze kuingia kwenye hatua inayofuata (which translate to more pay), inakubidi ununue bidhaa kila mwezi tena kwa kufululiza. Forever living unatakiwa kununua (minimum) $264 per month.
Ili uweze kulipwa hiyo 10,000, timu yako lazima iweze kununua na kuuza bidhaa za thamani kubwa ile mbaya. Je huyo anayekwambia analipwa 10,000 ataweza kukuonyesha mahesabu yanavyokwenda?
The emphasis iko kwenye kujenga timu yenge nguvu chini yako, mafanikio yatatokana na effort ya timu nzima uliyojenga chini yako na sio mtu binafsi. Unanunua na kutumia bidhaa pamoja na kuwashirikisha wengine, then unaanza kujenga timu chini yako ukiwafundisha to do the same...in other words you duplicate yourself.
kuna siku nilekwenda shamba na nikakuta all land imejaa shubiri zilizojiotea zenyewe. Nikapata hasira sana kwa kuwa wabongo wangefikiria kidogo tu haya makampuni yangekuwa exchange wazuri sana kwa malighafi kutoka kwetu ndipo nasi tununue madudu yao......
Huku bongo shubiri(Aloe vera) zipo kibao!kama unataka unachuma mmea wako shambani unachemsha una mix na asali unakunywa!ni dawa tosha kwa afya yako!na si mixer ya chemicals unaambiwa ni Aloe vera WIZI MTUPU!!!!!!!!wana JF TUPIGE VITA HII KITU ITATUTIA UMASIKINI.
Hakuna kitu rahisi/cha bure duniani.
Ni kweli kabisa kuwa Network/Multi-level marketing zinalipa lakini ni kwa wale walio tayari kujituma na wenye malengo kujenga mtandao/timu imara. Kwa mfano kuna watu ninaowafahamu wameingia kwenye forever living na hivi ninavyongea wanalipwa hadi dola 10,000 kwa mwezi, lakini walichapa kazi kweli kweli kufikia hapo sio lelemama.
Watu wengi wanakosea kufikiria ukiingia kwenye biashara hii hela inapatikana bwerere lakini inabidi kweli ukaze buti ujitume kujenga mtandao wako.