For JamiiForums Mobile users

#ff0000 Leo ni siku ya pili najaribu na hamnaga kitu Mkuu ff0000!

Fanya hivi
Mwanzo weka [color=green ] bila kuruka nafasi kwenye hayo mabano halafu unamalizia na [/color]

Si unaona mi nimeweza

kama hujaelewa bado hebu reply hii. Uone zilivyojipanga
 
[colour=#ff0000]mbona sielewi?[/colour]

Hapo ndo ulipokosea

Usiweke Neno COLOUR weka neno COLOR

Pia unaweza kuweka Jina la Rangi badala ya hizo code za #fff000 na ukaweka Neno Red,green,blue n.k
 
Mkuu RGforever,
tafadhali rudia somo la kuandika kwa herufi kubwa sijakupata vema.
 
Last edited by a moderator:
Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.

SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.

TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE

Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=#ff0000 ]

2.[/COLOR ]
U
siweke Space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code

OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.

[COLOR=#ff0000 ]MOBILE[/COLOR ]

Au hivi [COLOR=red ]MOBILE [/COLOR ]


MOBILE


KWA CODE ZINGINE HIZI HAPA
#000000 black
#FFFFFF white
#FF0000 red
#008000 green
#0000FF blue
#FFFF00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00FF00 lime
#00FFFF aqua
#FF00FF fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#C0C0C0 silver
#008080 teal
#EE82EE violet
NOTE:
unaweza kuweka Code number au Jina la Rangi kama hapo juu yalivyoorodheshwa

Halafu Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYS

UPDATE

KUPIGIA MANENO MSTARI
[U ] MSTARI [/U ]
Toa au rudisha hizo space and u're done

MSTARI

KUWEKA SMILEY
Toa au rudisha hizo space and u're done

1 :do h: :doh:
2 :win k: :wink:
3 :bathbab y: :bathbaby:
4 :embarrasse d: :embarrassed:
5 :coffe e: :coffee:
6 :popcor n: :popcorn:
7 :mwaaa h: :mwaaah:
8 :flypi g: :flypig:
9 :range r: :ranger:
10 :israe l: :israel:
11 :lo l: :lol:
12 :tongu e: :tongue:
13 :wink 2: :wink2:
14 :pee p: :peep:
15 :gossi p: :gossip:
16 :smas h: :smash:
17 :evi l: :evil:
18 :po a: :poa
19 :focu s: :focus:
20 :y o: :yo:
MORE TO COME.


HERUFI KUBWA

Kama Unataka Kuweka Herufi Kubwa. Basi Fanya hivi...
andika maneno yako Mfano JF MOBILE. Sasa mwanzoni weka code hii [size=15 ] na Mwishoni weka Code hii [/size ]Usiruke space kama mimi.. And its DONE. Hiyo 15 unaweza kuibadili kulingana na size unayotaka.

JF MOBILE oooh Niiice


KUWEKA NENO CLICK HERE au KUWEKA LINK

Ni Ngumu kidogo.but lets try

[ url=www.jamiiforums.com] CLICK HERE [/url]


Hapo nilipoandika jamiiforums unaweza kuweka web address yoyote ile. Ila kumbuka kutoruka space.

CLICK HERE
Kwa wapenzi wa fta tv channels,all frequencies and symbol rates,
INGIA HAPA au HAPA
 
Back
Top Bottom