Kumbe hapa ndiko ulikojifunzia? Ila mimi naona uvivu. ..utanifundisha bwana wala sihangaiki.
:clop_2:
Nime boresha kidogo hiipost
Na kuweka smiley ni hivi
- bold ni hivi [b]text[/b]
- underline ni hivi [u]text[/u]
- rangi
ni hivi [color=blue]text[/color]- Link ni hivi [url=http://ilovetz.com.com]hapa[/url]
- kukata neno... Hi naona inazingua JF
ila nayo ni [s]text[/s]- kulist vitu ni
[list]
[*]item1
[*]item2
[/list]
ambayo itaonekana hivi
- item1
- item2
:sick: :sick:
:clap2: :clap2:
:popcorn: opcorn:
:confused2: :confused2:
:A S-cry: :A S-cry:
:nono: :nono:
:banplease: :banplease:
:amen: :amen::A S-confused1: :A S-confused1::A S kiss::A S kiss:
:hatari: :hatari:
:closed_2: :closed_2:
Waweza ongeza code zaidi
Code za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?
Highlight , bofya B juu huko una bold, yanini taabu na raha zipo?