For body builders, please mawazo yenu yanahitajika

ngoja nikupe advice kiongozi..,mm hapa nilikuwa na tatzo kama lako tena mm nilifanya ayo mazoez mwaka mzma bla mafanikio..,kumbe nilikuwa najidanganya..,fuata maelekezo aya..,cha kwanza ukitaka 2mbo lako liwe na 6pack abs. maji ya baridi yawe mwiko kwako.,kingne kama unauzito mkubwa fanya mazoez ya kukimbia ili ushushe weight den ndio uanze kupiga chuma pmj na mazoez ya tumbo..,ucpendelee sana kula v2 vya mafuta kama chips yai, wali , pilau..,pendelea sana matunda na maji .,alafu ukitaka uone mafanikio fanya ayo mazoez ya 2mbo wiki8 .,asubuhi ,mchana na jioni.den utanipa feedback..tnx & kila la kheri
 
Back
Top Bottom