Flashback: Mh. Msigwa in action Very good!

"Ujinga ni kuendelea kufanya jambo hilohilo kila mara huku ukitegemea litakuja kutoa matokeo tofauti"

"Tatizo haliwezi kuondolewa kwa akili ya level ileile iliyolisababisha"

Very interesting speech!!!
 
Tutaishia kumsifia ameongea vizuri, then what? Mmeishawahi kumsikia Komba akiongea bungeni? anaoengea vizuri kuliko Msigwa,kama mnataka tulinganishe kuongea . [ charisma ]
Msigwa ameongea vizuri ndiyo, point tupu ndiyo, lakini what is the ultimate product? hotuba yake imeleta mabadiliko gani? Hamna tofauti na mbunge wa Mbeya vijijini siku moja alikua analalamika sh. bilioni mbili za mradi wa maji zilipelekwa Mbeya vijijini kuondoa tatizo la maji lakini hela zikapotea...amelalamika wee..mwisho anasema "mheshimiwa spika naunga mkono hoja" !!!
Ningejiunga na nyinyi kumsifia Msigwa kama angepeleka muswada uwe sheria kuondoa mambo yote ya kipuuzi aliyolalamikia.Vinginevyo hana tofauti na wabunge wa magamba.
 
Hongera sana Mchungaji Msiwa Mungu akutangulie wewe ni taa na chumvi kwa taifa hili. CCM msikilizeni mpate ufahamu!
 
Tutaishia kumsifia ameongea vizuri, then what? Mmeishawahi kumsikia Komba akiongea bungeni? anaoengea vizuri kuliko Msigwa,kama mnataka tulinganishe kuongea . [ charisma ]
Msigwa ameongea vizuri ndiyo, point tupu ndiyo, lakini what is the ultimate product? hotuba yake imeleta mabadiliko gani? Hamna tofauti na mbunge wa Mbeya vijijini siku moja alikua analalamika sh. bilioni mbili za mradi wa maji zilipelekwa Mbeya vijijini kuondoa tatizo la maji lakini hela zikapotea...amelalamika wee..mwisho anasema "mheshimiwa spika naunga mkono hoja" !!!

Ningejiunga na nyinyi kumsifia Msigwa kama angepeleka muswada uwe sheria kuondoa mambo yote ya kipuuzi aliyolalamikia.Vinginevyo hana tofauti na wabunge wa magamba.

Bunge hili haliwasikilizi wapinzani. Pengine next time lakini huoni message sent. Kawa mwanga na chumvi, mwanga unatoa giza na chumvi huhufadhi vyalula visiharibike upo hapo ndugu? Sasa wewe unashauri wabunge waendelee kuchangia kwa vijembe na matusi au?
 
Kwa hiyo toka alipotoa hiyo hotuba vijembe na matusi vimeisha? wabunge wameacha kujipendekeza?
Wasomi waliopo bungeni wameacha kuongea kama watoto wa darasa la pili?
Tusiridhike mapema, tatizo tukiambiwa 'upembuzi yakinifu unaendelea" , 'mchakato unafanyika" tunaridhika.
Anacholalamika Msigwa ndicho hichohicho anachokifanya. jiulize HOTUBA YAKE IMEBADILISHA NINI?
 
Back
Top Bottom