Magufuli: The unity of measure

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;

Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo;

Naomba bunge letu litangaze kuwa Magufuli ni UNITY OF MEASURE FOR PRESIDENCY AND GOOD LEADERSHIP. Itakuwa hivi

Milimagu 0 - 15% of performance
Centimagu 16% - 29% of performance
Decimagu 30% - 59%
Magufuli 60% - 79%
Decamagu 80% - 89%
Hectomagu 90% - 99%
Kilomagu 100% +
 
kuna shida kwenye hesabu hapa atakuwa alikusahau kwenye ile orodha yake ya vyeti .
 
If all the corrupt are swept away to the one who created them and or to the devil directly, that will be a very easy thing for magufuli to be given his honor in this country

I also believe, Hayati Magufuli, he will also be given an award for the protection of our natural resources and honorable service to our country!
 
Magufuli was a country bumpkin.

You seem to be one too, that's why you don't know the difference between "unity" and "unit".
Magufuli was a fool for thieves and very few fools in this Tanzania, it will not be easy for any leader with good intentions like Magufuli to lead a country full of corrupt people everywhere, corrupt people, thieves of school certificates, air workers, money grabbers. etc

Be loved by lazy peopleand they don't want to work except to steal?

Even if you are the president and then you reject those things, you will be hated
 
Si useme tu Magufuli Anaendelea kuishi mioyoni?

Alikufa membe tushasahau.

Kafa Lowasa tumesahau hata kabla ya kuzika.

Serikali ilijua raia watajitokeza kuaga mwili wa Lowasa na Membe, huko barabarani imekuwa kimya sana.

Hata huko Arusha nazani watatumia lisaa tu

JPM asilinganishwe na mtu.

Tujifunze kuhudumia wananchi ili watuelewe.
 
Typo error, it’s unit. Thanks boga
That's more than a typo, more like you have a problem with the phonetics and spelling of that language. That's why you chose y out of all the letters.

Msome nguli Profesa Issa Shivji kaandika kirefu na kisomi ushamba wote wa Magufuli.

Tulishaliweka bandiko la kisomi hapa.

Thread 'Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia' Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia
 
Tukiwa katika kuomboleza kifo cha Ndugu Edward Lowasa, na kwa kuzingatia mchango wake katika kulijenga taifa vis a vis matarajio ya watanzania na dunia kwa ujumla;

Na kwa kuzingatia michango ya wananchi wengine waliopata nafasi za uongozi wa nchi hii, iwe walishapita au bado wapo;

Naomba bunge letu litangaze kuwa Magufuli ni UNITY OF MEASURE FOR PRESIDENCY AND GOOD LEADERSHIP. Itakuwa hivi

Milimagu 0 - 15% of performance
Centimagu 16% - 29% of performance
Decimagu 30% - 59%
Magufuli 60% - 79%
Decamagu 80% - 89%
Hectomagu 90% - 99%
Kilomagu 100% +
Pantosha naomba ufafanuz milimagu akifanikisha nini, umeme, maji

Decimagu ni nini asipouza misitu, Ngorongoro, Bandari?

Decamagu ni nini kuthibiti rushwa, nauli. Mfumuko wa bei?

Hectomagu ni nini, kuwajibisha watendaji wake na kuteua watendaji sahihi?

Kilomagu ni nini, kuwasikiliza wananchi na kero zao au kufanya ziara Ulaya, seminars, makongamo, warsha?
 
That's more than a typo, more like you have a problem with the phonetics and spelling of that language. That's why you chose y out of all the letters.

Msome nguli Profesa Issa Shivji kaandika kirefu na kisomi ushamba wote wa Magufuli.

Tulishaliweka bandiko la kisomi hapa.

Thread 'Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia' Prof Issa Shivji: The Dialectics of Maguphilia and Maguphobia
Anybody can just write. The truth stands out.

Magufuli will forever remain the unit of measure.
 
Pantosha naomba ufafanuz milimagu akifanikisha nini, umeme, maji

Decimagu ni nini asipouza misitu, Ngorongoro, Bandari?

Decamagu ni nini kuthibiti rushwa, nauli. Mfumuko wa bei?

Hectomagu ni nini, kuwajibisha watendaji wake na kuteua watendaji sahihi?

Kilomagu ni nini, kuwasikiliza wananchi na kero zao au kufanya ziara Ulaya, seminars, makongamo, warsha?
Bado nimeziacha wazi ili kila mtu Afanye ratings zake mwenyewe.
 
Anybody can just write. The truth stands out.

Magufuli will forever remain the unit of measure.
Umemsoma Shivji au ume dismiss tu kabla ya kusoma?

Kama anybody can just write, how do we know that you don't also "just write" ?
 
Back
Top Bottom