Flash haisomi kwenye pc

Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
16,927
13,011
Wakuu hii flash imegoma kusoma kwenye pc,ukiscan yale mafail yanaonekana yakiskanika na inaonekana kabisa kuwa yamejaa kwny flash ila ukiopen unakuta empty.

C6 CHIEF MKWAWA MWONGOZN WENU
 
Last edited by a moderator:
Kwa windows 7/8
  • Fungua windows explore >>> Click View >>> Click Option >> Click View [Hapo kwenye folder options ] >>> Click show hiden files.
  • Ondoa Check Mark sehemu zote zilizoandikwa Hide.........[Angalia Picha ]
  • >>> Click apply >>> OK
Capture.png


  • Hapo file zote kwenye flash zitaonekana, Chakufanya tengeneza folder mpya [kwenye desktop mfano ]na copy kila file baada ya kufungua hiyo hidden folder za kwenye flash, na ku_paste katika folder jipya ulilotengeneza.
  • Kisha format hiyo flash ndipo urudishie files ambazo ungependa kuhifadhi katika flash
  • Nivyema ukaifanyia Scanning PC yako baada ya kurudisha faili zako ili tatizo lisijirudie.
  • BTW- Unatumia antivirus ipi?
 
Back
Top Bottom