Fiterawa ya Dr Rahabu

Kuna mama ninayemfahamu amepona kwa dawa hiyo miaka ya 2007/8. Mimi nilichangia kwa kiasi kidogo gharama za matibabu yake. Lakini mwaka jana alipompeleka rafiki yake akapewa dawa ambayo haikuwa nzito kama aliyokunywa yeye. Ilikua kama maji yamekuwa mengi. Na mgonjwa hakupona!!
Mgema ukimsifia.....
 
Mara ya kwanza kwenda pale kwa huyu mganga wa kienyeji Rahabu ilikuwa mwaka 2006, kuna jamaa angu alikuwa mgonjwa sana wa vidonda vya tumbo. Kwa kipindi hcho pia nilikuwa na ulcers ila nilikuwa nazichukulia poa kwa kuzituliza na "omeprazole".
Baada ya mda jamaa angu aliniambia amepona ila alikuwa amekwisha sana kama muathirika vile, sababu ya masharti ya vyakula!
Jamani ni kuna masharti ya vyakula balaa...
Mwaka 2007 mwishoni pia vidonda vilinichachamalia sana,
ikabidi niende pale kuanza dumu la 1... Baada ya wiki mbili tayari nlkuwa hoi kwa masharti ya vyakula, nilipomaliza dozi ya madumu 4 nkawa bado sijapona na nkazidi kukondeana.
Familia yangu ikaingilia kati, Baba akaenda kumtupia madumu yake huyo bibi Rahabu.
Tukampata Msukuma mmoja hvi alinipa dawa ya kuchanganya Maziwa fresh, Samri, Asali na kuna mitishamba flani hv(hapo ndo sijui miti gani ningewatajia). Hiyo dawa ilikuwa nzuri sana kwanza haina masharti ya vyakula isipokuwa pilipili tu, afu inanenepesha kweli. Nilitumia hyo dawa kwa wiki tatu tu nkawa nmepona, na nlienda kupima kile kipimo cha Endoscopy pale kcmcm nikaonekana nipo poa sina vidonda vya tumbo!
Rahabu simuamini kwa kweli kwa kutokea kwenye stori yangu.
 
kuna concept fulani tunaitumia katika medical sociology kuwa dawa au matibabu hayatangazwi kama bidhaa. sijui sheria za nchi zinasemaje? sijawahi kusikia tangazo kuwa hospitali bora ni muhimbiri au kcmc, bugando n.k wagonjwa tunajipeleka au tukuwa refered kule. sasa hawa watu wa altenative medicine kwa nini wanafanya an ethical practice na wanaachiwa?
 
sijui nani anayeregulate hawa watoa tiba mbadala ambao kwa sasa wameshika chati hapa nchini
 
Mara ya kwanza kwenda pale kwa huyu mganga wa kienyeji Rahabu ilikuwa mwaka 2006, kuna jamaa angu alikuwa mgonjwa sana wa vidonda vya tumbo. Kwa kipindi hcho pia nilikuwa na ulcers ila nilikuwa nazichukulia poa kwa kuzituliza na "omeprazole".
Baada ya mda jamaa angu aliniambia amepona ila alikuwa amekwisha sana kama muathirika vile, sababu ya masharti ya vyakula!
Jamani ni kuna masharti ya vyakula balaa...
Mwaka 2007 mwishoni pia vidonda vilinichachamalia sana,
ikabidi niende pale kuanza dumu la 1... Baada ya wiki mbili tayari nlkuwa hoi kwa masharti ya vyakula, nilipomaliza dozi ya madumu 4 nkawa bado sijapona na nkazidi kukondeana.
Familia yangu ikaingilia kati, Baba akaenda kumtupia madumu yake huyo bibi Rahabu.
Tukampata Msukuma mmoja hvi alinipa dawa ya kuchanganya Maziwa fresh, Samri, Asali na kuna mitishamba flani hv(hapo ndo sijui miti gani ningewatajia). Hiyo dawa ilikuwa nzuri sana kwanza haina masharti ya vyakula isipokuwa pilipili tu,

mkuu tupe contact zake uyo jamaa,
 
Vidonda vya tumbo vinatibika hata hospitali lakini ni kati ya wagonjwa 7 miongoni mwa 10
tatizo ni 'adherance to treatment' kufuata maelekezo ya dawa na lishe katika kipindi cha matibabu.
Changamoto:
1:dawa nzuri ni za garama na mara nyingi wanaougua hawana kipato kizuri
2:soko huria limeingia hadi kwenye dawa ziko kibao feki na huwezi kuzitambua
3:madaktari wengi hawana ozoefu wa jinsi ya kutibu ki matendo,wanarubuniwa na matangazo ya dawa kutoka kwa promota
4:hamna utafiti endelevu wa jinsi ya kushughulikia hili tatizo
kama kuna mtu anatatizo kama hili ntamuuelekeza vipimo vya kufanya na baada ya majibu ntamuelekeza dawa za kununua na masharti yake ila inahitaji hela
 
Wakuu kilichonipata kwa Rahab ni siri yangu, ila kwa kifupi nimekoma kabisaaaa
 
Vidonda vya tumbo vinatibika hata hospitali lakini ni kati ya wagonjwa 7 miongoni mwa 10
tatizo ni 'adherance to treatment' kufuata maelekezo ya dawa na lishe katika kipindi cha matibabu.
Changamoto:
1:dawa nzuri ni za garama na mara nyingi wanaougua hawana kipato kizuri
2:soko huria limeingia hadi kwenye dawa ziko kibao feki na huwezi kuzitambua
3:madaktari wengi hawana ozoefu wa jinsi ya kutibu ki matendo,wanarubuniwa na matangazo ya dawa kutoka kwa promota
4:hamna utafiti endelevu wa jinsi ya kushughulikia hili tatizo
kama kuna mtu anatatizo kama hili ntamuuelekeza vipimo vya kufanya na baada ya majibu ntamuelekeza dawa za kununua na masharti yake ila inahitaji hela

Tusaidie mkuu, mimi nimepima na nina Peptic Ulcers
 
Kuna jamaa yangu alipona ivyo vidonda tena mtoa dawa anakupa na kukuambia ukipona ndo uje kulipa kama shukrani kwanza kwa mola then kwake!
Ukiona dawa yoyote inatangazwa sana ujue ina walakini

Kiongozi hebu nidarect kwa uyo jamaa wako aliepona nimtafute maana nami ni muathirika wa ulcers
 
Vidonda vya tumbo vinatibika hata hospitali lakini ni kati ya wagonjwa 7 miongoni mwa 10
tatizo ni 'adherance to treatment' kufuata maelekezo ya dawa na lishe katika kipindi cha matibabu.
Changamoto:
1:dawa nzuri ni za garama na mara nyingi wanaougua hawana kipato kizuri
2:soko huria limeingia hadi kwenye dawa ziko kibao feki na huwezi kuzitambua
3:madaktari wengi hawana ozoefu wa jinsi ya kutibu ki matendo,wanarubuniwa na matangazo ya dawa kutoka kwa promota
4:hamna utafiti endelevu wa jinsi ya kushughulikia hili tatizo
kama kuna mtu anatatizo kama hili ntamuuelekeza vipimo vya kufanya na baada ya majibu ntamuelekeza dawa za kununua na masharti yake ila inahitaji hela

Msaada tafadhari mkuu maana vidonda vya tumbo vimenikamaya apa
 
Duh mie namshukuru Mungu sina hivyo vidonda, najatahidi viepuka
 
Mi nachoshangaa ni kwamba dawa za ulaya ni bei nafuu lkn dawa za apa home za tiba asilia wengi wanauza bei juu"waache wazungu wabarikiwe tu zaidi na zaidi" maana their concern in matters is reasonable hata huwezi wafananisha na akina rahabu awa
 
Huyu tapeli kama matapeli wengine kwanza akiongea kama anapmboleza
 
Binafsi nilikua kwenye stage mbaya zaidi ya vidonda vya tumbo,
ila baada ya kutumia hii dawa nilipona kabisa,
nadhani kikubwa ni kufuata ushauri wa lishe.na kuwa na imani basi..
 
yuko rahabu na wale wanajiita hebowox wanatangaza star tv wanatengeneza netregen. Wote waongo hakuna anaetibu hata mmoja
 
jamani kwa wale mnaojua au mliowahi kutumia dawa ya huyu binti Dr rahabu ambayo inasemekana kutibu vidonda vya tumbo.jamani ni kweli hii dawa inatibu?

Mkuu unasumbuliwa na vidonda vya tumbo?

Nimewahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo na vilifikia hatua mbaya kiasi cha kushindwa hata kula chakula chenye chumvi au nyanya. Na wakati mwingine nikila chakula cha usiku kesho yake natapika kikiwa hakijameng'enywa hata kidogo. Nimewahi kulazwa mara 3! Huu ugonjwa usikie tu usikupate!

Nilipewa dozi na jamaa mmoja bure, japo ilikuwa ngumu kuamini lakini nilipona na sisumbuliwi tena tangu mwaka 2001. Kwa kuwa nilipewa bure nami natoa bure na watu wengi wamepona.

Mahitaji:
1. Kuku mtetea (sijui sababu)
2. Maziwa "fresh" lita 4 (yasichakachuliwe i.e. yasichanganywe na maji)

Maandalizi:
1. Muandae kuku kwa ajili ya kupika (mkatekate vipande)
2. Mpike kuku kwa kutumia maziwa, usiweke kitu chochote zaidi ya maziwa hadi aive. Utabakiwa na lita kama 2 hivi. Toa vipande vya kuku bakiza mchuzi tu (hiyo ndo dawa yenyewe).

Dozi:
Kunywa nusu bilauri (glass) mara tatu kutwa kwa muda wa siku tatu. Unaweza kuhifadhi kwenye friji mchanganyiko huu. Mi nilikunywa siku mbili tu.

Ile nyama ya kuku inaweza kuwekwa viungo na kuliwa kama kawaida. Kilichokuwa kinahitajika ni mchuzi.

Kila la kheri.
 
kuna concept fulani tunaitumia katika medical sociology kuwa dawa au matibabu hayatangazwi kama bidhaa. sijui sheria za nchi zinasemaje? sijawahi kusikia tangazo kuwa hospitali bora ni muhimbiri au kcmc, bugando n.k wagonjwa tunajipeleka au tukuwa refered kule. sasa hawa watu wa altenative medicine kwa nini wanafanya an ethical practice na wanaachiwa?

Hili swali najiuliza day in day out. Tukianza kuruhusu na dispensary zianze kujitangaza hapa kama hoteli na gesti itakuweje? Na sijui kwanini tiba mbadala zinaruhusiwa kutangazwa kiasi hicho!
 
Mkuu unasumbuliwa na vidonda vya tumbo?

Nimewahi kusumbuliwa na vidonda vya tumbo na vilifikia hatua mbaya kiasi cha kushindwa hata kula chakula chenye chumvi au nyanya. Na wakati mwingine nikila chakula cha usiku kesho yake natapika kikiwa hakijameng'enywa hata kidogo. Nimewahi kulazwa mara 3! Huu ugonjwa usikie tu usikupate!

Nilipewa dozi na jamaa mmoja bure, japo ilikuwa ngumu kuamini lakini nilipona na sisumbuliwi tena tangu mwaka 2001. Kwa kuwa nilipewa bure nami natoa bure na watu wengi wamepona.

Mahitaji:
1. Kuku mtetea (sijui sababu)
2. Maziwa "fresh" lita 4 (yasichakachuliwe i.e. yasichanganywe na maji)

Maandalizi:
1. Muandae kuku kwa ajili ya kupika (mkatekate vipande)
2. Mpike kuku kwa kutumia maziwa, usiweke kitu chochote zaidi ya maziwa hadi aive. Utabakiwa na lita kama 2 hivi. Toa vipande vya kuku bakiza mchuzi tu (hiyo ndo dawa yenyewe).

Dozi:
Kunywa nusu bilauri (glass) mara tatu kutwa kwa muda wa siku tatu. Unaweza kuhifadhi kwenye friji mchanganyiko huu. Mi nilikunywa siku mbili tu.

Ile nyama ya kuku inaweza kuwekwa viungo na kuliwa kama kawaida. Kilichokuwa kinahitajika ni mchuzi.

Kila la kheri.

Aisee kweli unaweza usiamini kama hii dawa inaweza kutibu. Ni vyema wagonjwa wakajaribu na tiba hii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom