Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

4. CKD ( Chronic Kidney Disease)
5. Liver Cirrhosis
6. Heart Failure
7. Rheumatoid Arthritis

Kwa ujumla uwezo wetu wa kutibu magonjwa sugu ya kudumu ni mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Na hii ni kwa Afrika nzima.

Kuna sababu nyingi zinachangia km vile kutumia dawa za zamani, teknolojia ya zamani, uhaba wa wataalam wazuri na vifaa tiba, kipato duni cha wagonjwa n.k
 
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni:

1. Saratani (Cancer)
2. Vidonda vya tumbo
3. Kisukari

Ongezeeni mengine hapo
Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.

Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.

Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.

Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.

Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently
 
4. CKD ( Chronic Kidney Disease)
5. Liver Cirrhosis
6. Heart Failure
7. Rheumatoid Arthritis

Kwa ujumla uwezo wetu wa kutibu magonjwa sugu ya kudumu ni mdogo ukilinganisha na nchi zilizoendelea. Na hii ni kwa Afrika nzima.

Kuna sababu nyingi zinachangia km vile kutumia dawa za zamani, teknolojia ya zamani, uhaba wa wataalam wazuri na vifaa tiba, kipato duni cha wagonjwa n.k
Io namba Huo ugonjwa ukoje Mkuu
 
Vidonda vya tumbo havitibiki kwa kunywa dawa, dawa inatuliza tu maumivu kwa mda flani then vinatibuka tena.

Vidonda vya tumbo vinatibika kwa kubadili tu life style ya maisha yako.

Mfano : kula chakula kwa wakati, kuepuka vitu vye asili ya asidi kama pili pili, tangawizi,ndimu n.k.

Kuepuka hasira zilizopitiluza, msongo wa mawazo/stress inabidi uviepuke sana.

Hapo utapona vidonda vya tumbo permanently
Vidonda vinatibika kwa hayo uliyosema na kupata dawa nzuri. Kuna dawa nzuri km Voquezna ila tatizo ni lile lile bei
 
Back
Top Bottom