First year wote na tulioko vyuoni soma hii tusije laumiana yakitokea

Daaaaaaa somo zuri sana, nadhani linafaa sana kuwepo kwenye orientation course za vyuo.
 
Dah good story ingawa ilipofika katikati nikajua mwisho wa story ukoje. Swali kama huyo dada alikua changudoa ilikuaje aache kazi zake huko mitaani aje chuo kikukuu kujifanya mwanafunzi ili apate mgao wa jamaa (boom)

hivi kweli inawezekana watu wa Education,tena wote level sawa mukawa mnashindwa kukutana darasani hata kipindi kimoja?
Na kama halikuwa siyo mwanachuo,waliweza kudiscuss vipi hayo masomo?
 
Hongera sana mtoa mada. Ni vunzo zuri sana kwa wanafunzi wa vyuo vyote hapa nchi na nje ya nchi. Pia si wanawake tu bali hata uliye naye chumbani ni muhimu sana kumjua maana kuna Mkorea mmoja Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi alikumbwa na mkasa mkubwa pale UDSM alipokutana na kijana mwingine akijidai mwanafunzi toka uganda kumbe mwizi mwisho wa siku akamwibia kila kitu.
 
pole xana ndg kwa kumpoteza bestiyo, hnstly najckia uchungu xana na nimepata fundsho. Mungu ausaidie xana jaman 2muombe yy?
 
daaaah..hapo kwenye aya ya mwisho hapo...dah thanx sana...ni ujumbe mzuri...nimeupenda..tumeupenda!!!
 
wana JF espicial first year jitahidi kumjua mwanachuo mwenzako kwa kutumia kitambulisho chake akileta longo longo kuwa nae makini unaweza ukawa unaishi na kibaka au changudoa ndani ya room yako bila kujua, mimi nilishawahi kushuhudia jamaa akilia baada ya kuibiwa laptop yake na kibaka aliyekuja kulala room kwake akidai yeye ni mwanafunzi wa main compus enzi zileee naishi mabibo hostel. KUWA MAKINI tusije tukajibu kale ka methali ka MAJUTO NI.......

kwani kitambulisho ndo kinaonyesha vipimo vya VVU,cha mcng ucmwamin yoyote coz hata madent kibao wanao
 
Inauma sana... miaka yote ya utafutaji inazimwa fasta kivile... sitaki ngono kabisa
 
Jamaa ameshavuta au?ila nilishashuhudia mume anakufa leo the same date mwezi unaofuata mke akamfuata(wote kwa Ukimwi),so sad.
 
Mjini shule kaka, kama mtu ameamua kufanya jambo fulani lazima ajipange vilivyo, msichana alijipanga kuhakikisha bumu la mshikaji linahamia kwake. Acha ubishi siku ya kufa haijulikani na siku zote majuto huja baada ya tukio kutukia.. Jamaa imeshamtokea tuliobaki tujipange
 
Back
Top Bottom