First-Left, Arachuga ...

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
... hii nadhani kama sio ni Bar, basi ni ukumbi flani wa starehe ndani ya Arachuga, kwa mtu anaefahamu hapo mahali em naomba anijuze kidogo japo 'asili' tu ya hili jina, manake kuna jamaa ananambia eti hiyo ndo bar ya kwanza kushoto on the Arusha- Moshi Highway, is it?
 
... yeah sure, i can imagine it myself! we uko pande za arachuga m'jf mwenzangu ? maana natafta mwenyeji antembeze mjini kidogo... !
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.
 
Karibu arusha,mkuu! Kama bi dada alivyosema,hiyo bar ipo maeneo ya sakina kama ukielekea Nairobi.

shukrani mkuu, kumbe bi'preta' ni mdada enh? nimelipenda ile mbaya hilo jina lake japo sioni kama ana mpango wowote wa kunipa ukaribisho, wewe uko pande zipi mkuu ?
 
Inaitwa first left Bar mbele kidogo ya Technical kama Unenda Sakina/Ngaramtoni baada ya shule fulani hivi ya Nursery jina siikumbuki
 
Kuna watu ukisikia wanataka kutembezwa ujue aaaaaaaaaaaaah wana lao jambo! Usije ukanambia huoni mkuu maana hata wasioona hutembea wenyewe siku hizi.
 
..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako
 
Wakuu wa Arachuga ni wakalimu sana, lakini wana JF wa sehemu zingine hata ukitoa taarifa unaenda pande zao huwa hata hawa respond.
 
..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako
live band si kila siku,na si bendi kubwa sana-ni hizi wanazopiga bakulutu-arusha ukiacha ndanda kosovo-hakuna bendi inayopiga sana mziki,afadhali 7/7 walikuwa na bakulutu za ukweli-
bar yenyewe mbona ndogo tu,ni ya kawaida,sema hakuna usumbufu na makelele kama bar nyingine,nazan hii inasababishwa na bei ya vinywaji vyake.
ipo pembeni ya freedom bar,pia opposite na royal court ukishavuka daraja kama unatokea tripple a
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom