Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Dah!!!Salma wala usiwasikilize hawa, mwenzio Michelle ana tutoto tuwili tu halafu kwenye post natal care mtori alikunywa kweli?, wewe kuanzia Ridhiwani hadi mgodo wake wa mwisho bakuli ngapi za mtori?
enjoy nyama za kuchoma mama, maisha yenyewe haya mafupi.
wakati mume anamuua Osama yeye anapiga zoezi! Kwa bongo, wakati mume anaiba, yeye anampigia kampeni...