NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
dah mkuu umeniweka ubao? nahama timu. nahamia michuzi kwa loan
Utashuka kiwango hadi mwisho...na ukirudi kwetu hata bench hulambi...tutakuhamishia jukwaa la washangiliaji na wabeba jezi
dah mkuu umeniweka ubao? nahama timu. nahamia michuzi kwa loan
Unaweza ondoa jina langu? Thanks
1.gk...mzee mwanakijiji 2.
2. lb...rutashubanyuma
3. rb..arsene wenger
4. cb..kaka kiiza
5. cb..acid
6. dm.paka mweusi
7. lwb..mlalahoi
8. rwb..EL TORO
9. cm..malaria sugu
10. ss..rev masanilo
coach...invisible
referees
mod 1
mod 2
cheer leaders
rose1980
maria rosa
fab
afrodenz
dena ams
first lady
wise lady
preta
mwanajamii
hehehehe kwa ninavyomuelewa huyu dada anaweza akapandwa na mzuka akavua nguo zote.
NYONGEZA KWENYE USHANGILIAJI................PRETA kiongozi wa mikakati ya ushingiliaji
Pia kamati ya "Ufundi" .....Dar-es-Salaam na "ThinkTwice"
rangi za jf...dadaangu! na nitaomba ziwe fupi kama hiyo kwenye avatar ilikuwapa hamasa wachezaji
gemu la kwanza tunakipiga na wikileaks la pili tunakiputa na fesibuk la tatu ndio litakuwa kali tunakipiga na website ya kikwete.na hiyo timu inacheza na nani, lini na wapi?
gk...mzee mwanakijiji
lb...rutashubanyuma
rb..arsene wenger
cb..kaka kiiza
cb..acid
dm.paka mweusi
lwb..mlalahoi
rwb..EL TORO
cm..malaria sugu
ss..rev masanilo
coach...invisible
referees
mod 1
mod 2
cheer leaders
rose1980
maria rosa
fab
afrodenz
dena ams
first lady
wise lady
preta
mwanajamii
Utashuka kiwango hadi mwisho...na ukirudi kwetu hata bench hulambi...tutakuhamishia jukwaa la washangiliaji na wabeba jezi
gemu la kwanza tunakipiga na wikileaks la pili tunakiputa na fesibuk la tatu ndio litakuwa kali tunakipiga na website ya kikwete.
mmmh...hiyo timu ya tatu......sijui nijitoe kwenye safu ya cheer leaderz.....unanishaurije?
hamna kujitoa, tunakomaa nao. nasisitiza rushwa zote za kuuza gemu zipitie kwangu. macheer leaders hakikisheni mnavaa makufuli, msije mkatupotezea konsentresheni uwanjani.
heheeh dah! ina maana daresalama ndio mzee wa migoko :tape2:gemu ya mwisho balaaa....ya fesbuk mtelezo hiyo dar-es-salaam lazima aanze